Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wakuu,naomba msaada kwa yeyote mwenye link ya site kwaajili ya ku-download hiyo movie.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
PROFESSOR JAY -MACHOZI,JASHO NA DAMU VERSE..1 Nashukuru Macho yangu mawili hayana upofu/ na mdomo upo wazi kukemea mambo maovu/ siku inapofika naona Heri ya jana/ maisha ya wabongo yanakuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu kijana Boaz Danken anaimba nyimbo za injili za kusifu na kuabudu ni kama kwa sasa Mungu amempa kijiti kuongoza waimbaji wengine wa nyimbo za injili hapa nchini. Mimi mkristo nasikiliza...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
AFANDE SELE FT MR. NICE ( MIMI NA WEWE BASI) CHORUS ( MR NICE) Ahadi yangu mimi na wewe ilikuwa ni kuishi wawili/ ( afande sele) - "Aah" Kwakuwa umebadilika mimi na wewe Basi /... ( Afande...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna msanii yeyote wa slow pop anayemzidi Whitney Houston? Je ni nani?
1 Reactions
7 Replies
517 Views
Ule msimu wa funga mwaka uliokuwa ukisubiriwa umewadia. Orodha ya Wasanii Bora Mwaka 2024: 1. Marioo 2. Diamond Platnumz 3. Harmonize 4. Alikiba 5. Zuchu Orodha ya nyimbo...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Eti wakongwe tukiweka playlist za hawa wamama wawili nani anajua katika kipindi chake aliimba kiwango cha mbingu kufunguka. Mimi naanza uchambuzi kati ya Kokola ya tshala muana na Greatest love...
3 Reactions
15 Replies
792 Views
HIP HOP YA BONGO. Wasanii wa hiphop wanaunda sehemu kubwa na ya muhimu katika muziki wa Tanzania. Japo kuna watu wanaoamini kuwa ushindani kati ya rappers wa Tanzania umepungua ukilinganisha na...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
MWANA FT. PROFESSOR JAY. SONG. JUKUMU LETU. VERSE. 1. (MWANA FA & PROFESOR JAY) Professor jay: Kilio la mgambo limelia kote nchini kwa wote Yaani mjini na vijijini/ Tanzania 🇹🇿 imegubikwa na...
0 Reactions
1 Replies
909 Views
Mimi huzipenda sana,kwasababu zifuatazo: 1.zina mafunzo mengi ya maisha 2.wasanii wao ni watu wenye ujuzi mkubwa,wana act vizuri mno kwa kila scene 3.wanajua kuvaa vizuri kulingana na scene...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ikiwa ungetakiwa kuchagua ngoma za kundi moja la kusikiliza nyimbo zao kati ya haya matatu: Prof. Jay, Afande Sele & Juma Nature Alikiba, Matonya & MB Dog Joslin, Noorah & Mr. Blue Ungechagua...
2 Reactions
6 Replies
722 Views
PROFESSOR JAY FT BANANA ZORO - NISAMEHE.. VERSE 1. ( PROFESOR JAY) "Usiniache mupweke utafanya watu wanicheke/ ni wewe pekee uliyefanya mi ni deke/ kuvunja mpenzi letu utafanya mi niteseke/...
0 Reactions
2 Replies
450 Views
Umefanya kosa let say 'treason' then ukakamatwa na umepelekwa mbele ya mmoja kati ya hawa ili uhukumiwe, unadhani yupi angalau anaweza kukusikiliza na kukusamehe? 1. THEODORE "T-Bag" BAGWELL...
1 Reactions
11 Replies
669 Views
PROFESSOR JAY. MAGEREZA yanawaka moto Wafungwa ndani ya msoto/ Wanaume wanavyocheza Baba na mama kama watoto/ Ni ukweli usiofichika mfungwa hachagui gereza/ Wote wana haki sawa sio tu...
1 Reactions
2 Replies
525 Views
CHANGE Story by Elton Tonny Urafiki, Familia, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Usaliti, Unyanyasaji, Ukatili, Mauaji, Mambo yasiyotazamiwa, Mambo yenye kuhofisha R-rated 18+ DISCLAIMER: Hadithi...
11 Reactions
284 Replies
76K Views
..MARIOO ni msanii ambaye anatoa hits nyingi sana ambazo zinafanya vizuri kila kona ya mtaa, na endapo DIAMOND akimwachia upenyo MARIOO wa kuendelea kusikika mtaani basi lazima atachukua nafasi...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Nitaanza na hii ya Songa kwenye Hisia za Moyoni. "Imani ni bora kuliko dini"
10 Reactions
37 Replies
2K Views
Heshima kwenu nyote. Kuna movie moja ya Kizungu niliwahi kuona jina lake humu ndani ila ni miaka zaidi ya mitatu nyuma nimesahau jina. Hiyo movie Starring hajui kupigana, yupo na mke wake na...
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Nyota za "Hollywood Walk of Fame" ni alama za mafanikio katika sekta ya burudani, zikibeba majina ya wahusika mbalimbali kama vile waigizaji, wanamuziki, producers, directors, vikundi vya...
2 Reactions
1 Replies
568 Views
Ni tamthiliya ambayo ilikuwa na kisa kizuri ambacho naamini kama wangepatikana watu wenye ujuzi au uzoefu zaidi wangekiandikia na kukicheza vizuri zaidi. Pengine lugha pia inapunguza utamu kwa...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom