Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Mimi nimpenzi wa nyimbo za kizazi kipya ila napata shida sana kila kitu Diamond kweli jamani wana jf nikweli hakuna waimbaji wakali ila diamond? Tuseme ukweli some body there anauwa vipaji...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau habarini za jioni' mm nina mzuka sana na Music, napenda sana kupiga drumz, Guitar na kinanda. Lakini katika vyote' nachoweza kidogo ni drumz tu. Sasa nataka nijifunze kupiga kinanda na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Shot through the heart and you are to blame you give a bad name I played my part and you play your game You give love a bad name... Bon Jovi - You Give Love A Bad Name - YouTube
0 Reactions
0 Replies
792 Views
wadau wenye ufahamu wa hizi muvi za jela embu tupieni hapa.
0 Reactions
11 Replies
5K Views
RAMA DEE FEAT MAPACHA "Kuwa na Subira" Hiyo ni ya kwangu, we yako ipi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau; I have been dedicated this song .... Tusikilize pamoja....down load hapo chini
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Chorus Yaa shahar ramadhan khair min alfu shahar ooh! shahar ramadhan khair min Alfu shahar×2 Verse1 Mwezi ulojaa amani utulivu wa duniani huzidi za waja imani ufikapo yaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mzee wetu Muhidini Maalim Gurumo (r.i.p) nguli wa Muziki wa dansi nchini alikufa na kuzikwa kijijini kwao kule Masaki, kata ya Masaki, tarafa ya Sungwi, wilaya ya Kisarawe, mkoa wa Pwani kilometa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naombeni mtu aliye download wimbo wa facebook twitter wa Rose atuwekee hapa, siyo kuweka link
0 Reactions
3 Replies
13K Views
Wakuu huyu coldplay namkubali balaa... hili song lake jipya linaitwa a sky full of stars kama hujabahatika kuuskia utafute.... ukija kwenye video ndo balaa... huwezi choka kuiangalia
0 Reactions
0 Replies
729 Views
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Kwafujo Djs ni kundi la madj lililotamba miaka ya nyuma na kuwa maarufu lakini siku hizi halisikiki tena. nini chanzo cha kutokusikika kwa kundi hili tena?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Mwenye kujua ka link ambako naweza kudanlod nyimbo motomoto za kibongo hila video naomba tusaidiane wakuu.
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Nahitaji kudownload hii movie lakini kila nikijaribu kudownload kwa kutumia youtube downloader inakataa,nani anaweza kunipa link nzuri ambayo nitai download kwa kutumia youtube downloader au...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
wakuu mimi ni mwandishi wa scripts (movies scripts), naomba ushauri jinsi gani naweza kuwapata wahusika ili scripts zangu ziwezwe kuchezwa filamu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mmmmm mmmm I get wings to fly oh, oh, i'm alive Yeah when you call on me when i hear you breathe I get wings to fly I fell that i'm alive When you look at me I can touch the sky I know that i'm...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wale tuliosoma zamani tuliimba sana huu wimbo; Alaama za Chama Cha Mapinduzi, Jembe na Nyundo! Jembe ni kwa Wakulima na Nyundo ni kwa Wafanyakazi.... Ni tofauti na sasa watoto wetu...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Wakuu, mimi ni mpenzi sana wa aina za tamthilia tajwa hapo juu,,sababu hasa ni kuwa zinahusu historia za zamani za legends,heroes na events zilizotokea karne nyingi zilizopita,,,hivyo hata...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…