Umofia Kwenu wana JF,
Msanii aliyetamba miaka ya 2005 na kundi la Nako 2 Nako lord eyes amegongesha taya na watangazaji wa E.A radio kupitia segment ya Nyunyuzi kwamba next week anaachia ngoma...
Nimekaaa nimemfatilia sana huyu jamaa bado simuelewi elewi mpaka sasa,unashangaa anatoa video kali sanaaa na yeye ndio mwenye wimbo ila kwenye huo wimbo sioni anachoimba au mimi ndio sijui mziki...
Nimeusikiliza huu wimbo mpya wa Mpoto Kwa kweli ni ujumbe muhimu sana unaotakiwa kumfikia Rais. Kama bado hujausikia bofya hapa chini
http://m.youtube.com/watch?v=3OZF1yr41Sw
Hamjambo kila mtu ! I like this Tanzanian song called "Vifuu Tundu" : https://www.youtube.com/watch?v=v3OJJRnnsQs Could some one help me by writing the lyrics down, please ? Nimeanza kusoma...
Tukiwa tukijiandaa na W.end Kesho unawenza kuandaa vitu vyako safi na murua.
Series hizi ni mpya pia ni nzuri sana.
1. Tyrant hii imefikia epsode 1-8
2.Extant hii ipo 1-6
3. Dominion 1-7...
Kuna msanii wa kike sijui ni Mkongo ama vipi lakini huimba kilingala anaitwa Ayila, ana sauti nzuri sana nilipata kuziona nyimbo zake Clouds Tv wakati iko kwenye majaribio ya kuruka...
jamani naombeni msaada wenu nimetafuta ninavyojua nyimbo ya Nemo baby sema ila sijafanikiwa so nahitaji mnisaidie link or mahala p kuipatia hiyo nyimbo.
Nimefanya uchunguzi mdogo tu nimegundua kuwa wasanii wengi wa music Tanzania ni wafupi, sijui kwanini? Au kuna uhusiano wowote ule kati ya ufupi na kipaji? Au ndio ile theory ya kwamba watu wafupi...
Nisalimie sana Humphrey Bogart
Lauren Bacall was among the last of the old-fashioned Hollywood stars and her legend, and the legend of Bogie and Bacall - the hard-boiled couple who could fight...
Umofia kwenu igwe na oga wa JF,
Msanii Emmanuel Mgaya aka Masanja Mkandamizaji alijipatia umaarufu kwenye tasnia ya uchekesheji ameamua kutoka na album ya "MTOTO WA MFALME" yenye jumla ya nyimbo...
Wanajukwa kuna wimbo mpya utazinduliwa hivi karibuni umeibwa na msanii anaitwa linex unajulikana kwa jina la wema kwa ubaya, linex katungiwa na Zitto Kabwe, hatujui kwa nini wameamua kuupa jina la...
Msaada wadau..kama unaifahamu movie yoyote ambayo kuna star wa prison break...wale akina michael,linc,sara,killerman,mr kim,tbag,sammy,au sucre anitajie ili nidownload...nawapenda sana hawa jamaa
At least 2.2 million people have already watched "The Expendables 3." The problem for the movie's distributor, Lions Gate Entertainment Corp., is that its big-budget action movie doesn't open...
Hii Nimeiona mahali hivi
Mtangazaji wa kipindi cha sporah show ametuhumiwa kwamba anapenda kukuza mabeef ya wasanii tanzania ama ni yeye kuwa
na elimu ndogo ya utangazaji kiasi kwamba anakosa cha...
Mimi sio mpenzi sana wa kuangalia filamu, ila mara chache tu huwa naangalia hasa kwenye mabasi ninaposafiri.
Kitu kinachonikera kwenye hizi Bongo movie hasa za JB ni kutumia wahusika wale wale...
Wajameni nisaidieni kunijuza jina la Msanii na la Wimbo;
Huwa naufumania tu radioni ukiishia, Ni mahadhi ya mchiriku na mashairi ni "Unajiamini kwa uwezo wako na unajiona kama vile uko peke yako...
jamani kama kuna mtu anaweza kunisaidia nyimbo za SOS B za miaka hiyo... maana da huyu jamaa nampenda sana... nimeziangalia kwenye intanet ila duu sijazipata...naombeni msaada jamani
Mwanamuziki kutoka Mwanza,Bob Haisa ameanza ku-shoot video ya wimbo wake mpya 'Lamsondo' akiongea na blog hii alisema "Jun 15, 2014 Niliuachia rasmi wimbo Lamsondo kupitia mitandao mbalimbali...
Wasalaaam!
Wana jamvi ni ukweli ulio wazi kuwa hapa kwetu music wa dance haupewi muda wa kusikika hewani kama ilivyo bongo flavour!
Na pamoja Music huo kupewa muda wa hewani bado hukaa masikioni...