Fiesta Shinyanga

Fiesta Shinyanga

Mangungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
2,404
Reaction score
3,060
Kama upo shinyanga tuambieni,mnafanyia wapi leo fiesta??

Maana nasikia mnafanyia kwenye vumbi,ccm kambarage imekua shiiiidaa kuupata!!

Jiandaeni kesho kuugua mafua makali,sambaza upendo!!!
 
eti kusambaza upendo na ukimwi wake,watu mna maneno!SHY inatisha kwa HIV
 
Wanawaweka watu kwenye vumbi!!! Hiyo sehemu naijua vizuri sana!! Wajianfae na mafua tu
 
Back
Top Bottom