πMhadhara (75)βοΈ
Februari 24, 2002 ilizinduliwa albamu iitwayo "UKWELI MTUPU" kutoka kwa wasanii wawili, si wengine bali ni WAGOSI WA KAYA kutokea kule mtaa wa Kisosora, Tanga mjini. Mmoja aliimba...
MTUNZI: NYEMO CHILONGANI.
MAHALI: DAR ES SALAAM.
SIMU: 0718 069 269.
NITAKAPOKUFA 1.
Mlango ulisikika ukigongwa kifujo fujo na mzee Kessi ambaye alikuwa ametoka kunywa pombe za kienyeji katika...
Wasalamu,
wadau maisha ni mafupi Kila mtu ana starehe yake.
Azam nimelipia ila nashindwa kuipenda kama Dstv, naona Hawa Dstv wana picha HD sana.
Ila mnaolipia Cha 165,000 naona mnapata channel...
Na Lizzy
(Kisa hiki ni cha kutunga, mfanano wowote na watu au matukio halisi ni bahati tu na siyo kusudio langu. Haki zote za kunakili, kuchapa, au kutoa kwa namna yoyote ile iwe ya uchapishaji...
Movie za mapigano Bongo zinakwama wapi asee, naona tumerudi kwenye tamthilia za masimulizi nazo bado stori zile zile unaikumbuka Misukosuko, na Penzi la Misukosuko.
Uliangalia ulikuwa kibanda...
FILAMU NILIYOITAZAMA ZAIDI YA MARA KUMI.
LET IT SHINE (2012)
Tyler James Williams, mtoto wa mchungaji, ndiye mhusika mkuu kwenye simulizi hii akiwa sambamba na Coco Jones.
Nilianza kumfahamu...
RIWAYA : KIAPO CHA JASUSI
SEASON 1
SEHEMU YA 1
MTUNZI:PATRICK CK
MAWASILIANO :0764294499
DAR ES SALAAM 20/04/2032..
Saa kumi alasiri muda ambao jiji la Dar es salaam...
Aliyeandaa Script uwezo wake wa kufikiria ni mkubwa jinsi character walivyokuwa wakifanya mazungumzo una feel na kuenjoy wanavyojibishana hizi ndio tunaita Masterpiece.
1. Jamaa baada ya kuibiwa...
Mmiliki na Mkurugenzi wa EFM na TVE Francis "Majizzo" Ciza ametaja Playlist ya ngoma zake 20 bora kwa mwaka 2024 na ameiweka Komasava ya Diamond namba moja na katika orodha hiyo Marioo ndio jina...
Natazamwa kama mgongo
Wa kuegewa kama chombo
Nikitegemewa na watoto
Lakini kwa ndani mi' ni mtoto pia
Mtoto wa katikati
Njiapanda kati ya
Ukweli na uongo
Ukubwa na udogo ama
Upofu na uchongo
Ama...
Kwa anayetaka kujua Uwezo wake atafute ile Video ya Kanda Bongoman ya Live aliyopiga nchini Kenya kabla aliyekuwa Rais wa Kenya Daniel Arap Moi kumpa Saa 24 Kanda Bongoman aondoke nchini Kenya...
Ni jumatatu yenye hangover ya weekend. Basi lets talk about Music. Good Music.. Rhumba & seben Music.
Kutoka miaka ya 1990 jamii ya Tanzania katika anga la Burudani, muziki wa dansi (nikimaanisha...
Blog ya @burudanimbeya wanakupa taarifa ya utoaji wa Tuzo Kwa wanasanaa wote nyanda za juu kusini ikijumuisha wanamichezo na dhumuni la hizi Tuzo ni kuonesha kutambua mchango wa watu Hawa hapa...
Habari zenu naomba kuwaletea story nzuri na tamu Am not a doctor
AM NOT A DOCTOR 01
Muandishiβ¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦..EDDAZARIA
G.MSULWA(Next Level Author)
Mawasilianoβ¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦.0657...
πππ π π πππππππ πππ πππππ
Ni albam ya 13 ya Koffi Olomide. Iliachiwa mapema mwaka 1995. Kwa mujibu wa Tutu Roba, mdogo wake Koffi hii ndo albamu bora zaidi ikifuatiwa na Efrakatta. Kipaji...
pichani ni ngoma kali nilizozisikiliza zaidi 2023.
Katika miaka ya hivi karibuni, nimekuwa shabiki mkubwa wa muziki wa Kikongo, haswa kazi za Ferre Gola na Fally Ipupa. Walakini, hivi karibuni...