Wakuu natafuta wimbo mmoja wa Christian Bella siujui jina, ila baadhi ya maishairi yake yanasema "wakikununia ipo siku watakupenda, wakikusengenya nyamaza. .nikawaida yao. ." nimetafuta kwa...
Kwa mara ya kwanza Diamond ametoa nyimbo ya aina yake ambayo ukiisikiliza unavuta picha yenye mantiki flani hivi, mi kwa upande wangu naweza kusema kuwa sasa Diamond amekua, namsogeza karibu...
Kwa nini watu hawa maarufu waigizaji wa movie/wanamichezo tunawaita nyota na sio kitu kingine.
Yawezekana haya mambo walikubaliana miaka ya zamani wakiwa hawana uelewa wa kutosha? au ni mtu mmoja...
Heshima kwenu wakuu
Nimeangalia hii filamu ya manyani na imenivutia sana..nabaki najiuliza inakuwaje hawa manyani wanaact hivi!? au mimi ndo sielewi!?
kwa yeyote anayejua junsi hizi movie...
Rejea kichwa husika hapo juu... wadau mm ni msanii mchanga na nilikuwa naombeni mnisaidie contacts za Gabo wa bongo movie,iwe ni namba za simu au email... nitashukuru sana kwa msaada wenu...pia...
Leo nimeona kitu cha tofauti sana pale leaders club... Ni kama vile tunaweza hivi DJ mmoja mkali sana aisee wanamuita mafuvu, halafu wasanii wetu kama kuna improvement flani hivi kwenye stage...