Habari wadau.
Ben pol ana wimbo wake mzuri sana unafahamika kama moyo mashine. Sasa huu utaratibu wa kufanya rmx au sijui cover wamefanya wengi sana Ila kuna dada mmoja sijamjua nae kufanya hiyo...
Karibuni tukumbushane aina ya mziki Wa raggea na wanamziki wake na makundi yao waliowai kukuvutia sana.
Mimi napoisikia Shembe ya lucky dube.night nurse Gregory. Ub40 natulia sana.je wewe!
Jamani sijui wenzangu mnaofatilia Bongo fleva mnaonaje hili!
Hivi ulishawahi kusikiliza vema nyimbo za Ally Kiba anazoimba sasa baada ya kutoa ule wimbo wa "Mwana" halafu ukajiuliza Diamond...
Habar zenu wadau
Hebu tuangalie hii tasnia ya vichekesho bongo. Kifupi ni kwamba kwa sasa tasnia hii imevamiwa yani uvamizi mkubwa umeingia ktk tasnia hii
Kumekuwa na idadi kubwa ya...
Habari,naitaji movie hii mwenye nayo ama link ambapo naweza kuipakua anisaidie,nipatie direct link maana nimetafuta sana kwenye movie site sijaweza kupakua zaid ya ku watch online tu.
Nimepita stand ya daladala hapa Kilombero Arusha nimekuta Gari la matangazo linamasticker ya M na mwenge siwezi kuweka hapa maana nayachukia.. swali langu kwenu wanajukwaa kumbe fiesta ni...
I fell in love in a pool party She calling me 2chainz
I wanted a bugati
Gold on my two rings
She call me the cool kid
Kiss on my new rim
She loving the cool
She loving the cool
She know that...
Hawa jamaa kitambo sana sijawasikia. Nyimbo yao ya mwisho kuisikia walikuwa wamemshirikisha DJ fetty siku hizi sijui wako wapi na wanafanya nini.
Mwenye nyimbo zao naomba anisaidie jamaa...
Mara nyingi watu wanaposhindwa kusimama katika hoja huwa wanaanza kuibua viroja wakidhani zinaweza kuwavusha katika jambo husika. Vituko huwa vinaanza pale mtu anaposimama na kutaka kuaminisha...
Hivi huu wimbo ulitoka kweli!? Mwanzoni mwa May nilisoma kwenye blog mbalimbali juu ya hii collabo, na Tundaman alipost kwenye insatagram yake akiusifia! Je kuna mtu yeyoye ambaye ameshausikia na...
Double Impact.
Hii imechezwa 1991, Staring ni Vandamme na Alex.
Blood Moon.
Hii imechezwa 1997, Staring ni Gray Daniels.
Red scorpion
Hii imechezwa 1988, Staring ni Dolph Lundgren.
Ongeza...