Msaada, anaeujua wimbo huu wa Hip Hop

Msaada, anaeujua wimbo huu wa Hip Hop

Nelly Mtengwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
371
Reaction score
417
Nikiwa kwenye gari niliona video ya wimbo wa hip hop ulionivutia sana. Sijui jina la wimbo wala msanii ila CHORUS yake ametumia wimbo wa PAPA WEMBA na DIAMOND! Msaada kwa anaeujua vizuri ili niutafute!

Hip hip is something you live, Rap is something you do!
 
Wimbo unaitwa 'Chakun Pour Soi'......papa wemba ft diamond
 
Back
Top Bottom