Wadau naomba ufafanuzi kwa anaejua.

Wadau naomba ufafanuzi kwa anaejua.

Sefu jafary

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
382
Reaction score
258
Kunawakati mechi hasa za mpira wa miguu huruzhwa live kupitia jamii forum,hii huwasaidia wenzangu na mimi ambao tunategemea sna sim tanashati.
Kitu kinachonipa utata ni mechi nyingi hazionyezhwi kupitia hii program na badala yake mechi moja kati ya kumia au kumi na tano ndo huonyeshwa.
So ingekuwa gud department husika au yeyote anayejua,?kwanini mechi moja kati ya kumi sio mechi zote kumi hurushwa live kupitia JF anakaribishwa?
 
Back
Top Bottom