Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Huyu jamaa amejiwekea desturi sikuhizi kutoa nyimbo baada ya karne nzima,utadhani hana mashabiki ukimilinganisha na mpinzani wake, anajitahidi kutoa nyimbo na aim yake kubwa ni kutoa nyimbo ambayo...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Naona hawa kwese sports wame dominate sehemu kubwa ya vipindi.. Hata game za EPL jumamosi wanachukua feed kwa hawa jamaa..au Kuna uhusiano wa TV 1 na hawa jamaa?
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Ilikuwa zaidi ya Burudani, now nimejua wazi why uzinduzi ulifanywa Kenya.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wale wote ambaye ni wapenzi na wafuatiliaji wa tamthiliya ya siri za familia tukutane apa tujuzane na tujadili yanayojiri kwa pamoja Karibuni sanaa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya kilio chanu cha muda mrefu nilichokisikia huku JF kuhusu watu kukataa kuangalia Bongo Movie nimeona niulize Swali hili: Jamani watanzania wenzetu kwanini hamuangalii bongo movies...
4 Reactions
158 Replies
15K Views
Wasalaam wakuu,kuna wimbo nineusikia mahali fulani na baadhi ya mashairi yake ndio haya Wimbo ni wa gospel .... Mimi ninae rafiki, Pendo lake la ajabu kwangu Alikubali mauti,ili anipate mimi Kwake...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Mabibi na Mabwana Nawakaribisha Kusikiliza Audio Mpya ya Kwake Diamond Platnumz Ft. Omarion , Wimbo Unaitwa "African Beauty" DOWNLOAD HAPA ILI KUSIKILIZA AUDIO : Diamond Platnumz Ft. Omarion -...
1 Reactions
0 Replies
113K Views
Mabibi na Mabwana nawakaribisha kutaza Video Mpya ya Kwake Diamond Platnumz Ft. Omarion , Wimbo Unaitwa "African Beauty" BONYEZA HAPA LINKI HI VIDEO : Diamond Platnumz Ft. Omarion - African...
0 Reactions
0 Replies
25K Views
Pipo, msaada wajameni! juzi nikiwa nasikiliza ka-radio kangu, mara nikasikia wimbo fulani amazing na wataratibu, Rnb fulani ya kibongo. siyo mzuri wa kukariri mashairi lakini nakumbuka kiitikio...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu mambo vp ningependa kujua migration kibaha ipo maeneo gani na taratibu zake zipo vp mpaka kupata passport pamoja na garama zake
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Moja ya nyimbo ziliwahi kui hit sana miaka ya nyuma !! atae nitajia wasanii walio imba anapata 1 Like waptrick
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Habari zenu wadau wa tasnia ya mziki wetu wa Bongo flavor. Huu ni uzi maalumu kwa ajili kutupia Bongo flavor za kitambo ili Kukumbushana enzi zetu. Unachotakiwa zama kwenye music store yako weka...
0 Reactions
10 Replies
15K Views
wapenzi wa Biggie. embu tuambiane ni nyimbo gani unaipenda yake? Mi binafsi silali bila kusikiliza "Juicy" [Verse Two:] I made the change from a common thief To up close and personal with...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wana JF.... leo nataka kuanza kuwaletea simulizi kali na yenye mafunzo ndani yake. Simulizi hii ni ya ukweli kama ilivosimuliwa na mtunzi wa simulizi hii ndugu Rashid Karume ambae kwa sasa...
1 Reactions
26 Replies
9K Views
Mrembo hardcore kapiga flow za kufa mtu kwa style yake hii kwa sasa hakuna wa kumkamata**Poz chafu haitakuja kutakata***
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hivi karibuni nimejaribu kufikiria nikaona kumekua na upungufu wa ma sponsor kwenye masuala ya entertainment haswa muziki hivi nini inaweza kuwa sababu. Je wameona mziki haulipi au ni nini?
0 Reactions
1 Replies
819 Views
In my life I have always been an achiever . Always a good getter. I flourished at becoming good at all I did. Always good enough . A perfect son. A lastborn son. I got certificates for them. I got...
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Tunaelekea March wandugu, wale wenzangu wafuatiliaji wa Movie, kwa mwaka huu 2016 ni Movie gani umeielewa zaidi so far?
7 Reactions
293 Replies
37K Views
Mwenye huu wimbo wa AIC MAKONGORO CHOIR MWANZA-AMANI naomba anisaidie nimeutafuta bila mafanikio kwa muda mrefu sana.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mwezi juni mwaka jana, mfalme wa msituni, alitangaza mtandaoni kuachia album yake aliyoiita 7 jours de la semaine (siku saba za wiki au wiki nzima),. Jina. Jina la album hii likimaanisha wiki...
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Back
Top Bottom