Hii ni kwa wale ambao wanamkubali Mfalme Chris Brown kwenye miondoko ya RnB, Pop, HipHop na Soul. Tutakuwa tunatupia nyimbo zake zile kali pamoja na Audio zake......
THE OLD & YOUNG CHRIS BROWN...
Nimeanza kumfuatilia huyu jamaa tokea kitambo sana lakini, tangia namfahamu sijawahi kuona ameheribu kazi. Kuna wasanii wenzake kama Mario, Omarion, Young Lloyd na Bobby Valentino walivuma sana...
Wadau wa Bongo fleva ya kitambo Naitafuta sana hii nyimbo ya Bandago inaitwa Michano,,mwenye nayo version safi aiweke hapa mana huko net ipo ila inakwaruza sana.
Pia mwenye bongo fleva yoyote ya...
Habari wanajamvii.
Ndugu zangu mlioajiriwa poleni hii mvua na kazi unatakiwa kuandika jina kwenye attendence kweli poleni sana na kamshara kamegomeshwa kweli tunaisoma number...!
Sisi ndugu...
Leo naumwa ugonjwa usiojulikana na umesababishwa na mtu asiejulikana .maombi yenu Tafadhali nimeshindwa kuamka kabisa.
Nimekutana na hii movie kwenye vitu vyangu niliicheki kitambo nimeona...
Wana JF
Eti ule wimbo una sema "sijui usilete stori zako za kubet..... "
Then kuna sehem ansema tena "majeruhi kwenye ajari anaomba selfie"
Unaitwaje huwo wimbo
Mwenye kujua
Adrop comment
Ahsantee
IMBANAMIMI AFRICA 2018.
Kama una unakipaji cha muziki na unataka kuwa kama, au kuimba na msanii yeyote superstar TANZANIA na AFRICA unaweza kutumia simu yako ya mkononi kujirecord video au audio...
Watanzania habari ya Muda huu.
Naomba Msaada juu ya Hili suala.
Miaka ya 2000 hivi kulikuwa na Filamu za Kitanzania Zilizokuwa zikionyeshwa TBC, wakati huo Nadhani ilikuwa TVT. Kulikuwa na...
Bila kubisha naamini Africa ni bara lenye wanawake wazuri sana japokuwa linasumbuliwa na matatizo mbalimbali. Hii ni orodha ya nchi zinazoongoza kwa wanawake wenye mwonekano mzuri zaidi.
10...
Hakuna ubishi kuwa Alli Kiba ni mwanamziki aliyekulia ktk maadili ya imani ya kiislamu ambayo kimsingi kwa mujibi wa imani hiyo mziki ni haramu na hili Ali Kiba analijua kwa7bu amekaa...
Sisi wengine ni wapenzi wa Mziki japo mara moja au mbili kwa juma. Zamani nilikuwa naenda club/bar kuanzia Ijumaa lakini sasa nimepunguza sana. Pengine mara moja au mbili kwa wiki. Na kwa hakika...