Huyu Nandy jamani, amenipa hamu ya kuoa..!

Huyu Nandy jamani, amenipa hamu ya kuoa..!

kamati ya ufundi

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
416
Reaction score
441
Habari wanajamvii.
Ndugu zangu mlioajiriwa poleni hii mvua na kazi unatakiwa kuandika jina kwenye attendence kweli poleni sana na kamshara kamegomeshwa kweli tunaisoma number...!

Sisi ndugu zenu tulioamua kujiajiri tunapambana tu. Wala nisiwachoshe sana nimekaa kibandani kwangu natizama kavideo kapya ka Nandy kananipa hamu ya kuoa tu. Hivi ni nyege au ni haka kavideo kamenipa tu uchizi?

 
31571359_392503111269575_5078317666628796416_n.jpg
31175619_772277619637152_3124785958508036096_n.jpg
30913860_916243721870709_3482213811191021568_n.jpg
 
kwa hiyo siku hizi bill na nandy wanaitana kaka na dada!!! udada upi wakuvuliwa chupi?!!!
 
Barnaba visa kweli[emoji3] [emoji3] anamuogopa billnass hadi anamwambia akienda studio labda akate mikono[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Barnaba visa kweli[emoji3] [emoji3] anamuogopa billnass hadi anamwambia akienda studio labda akate mikono[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahaa...hahaaaa
 
Bora umuoe umnunulie chupi za kisasa, sio yale makaptura ya kizee .
 
Mkuu ni hiyo nyimbo eenh imekufanya utake kuwowa
 
Makubwa haya
Sawa mwalimu wa kiswahili
Yamekuwa makubwa tena si ni kuelekezana tu? Nakuwa nashangaa hata watangazaji unawakuta wameshupaa kabisa eti nyimbo hii........asante kwa kunipa cheo cha ualimu[emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom