Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,649
- 3,816
Wadau wa Bongo fleva ya kitambo Naitafuta sana hii nyimbo ya Bandago inaitwa Michano,,mwenye nayo version safi aiweke hapa mana huko net ipo ila inakwaruza sana.
Pia mwenye bongo fleva yoyote ya kitambo anaweza weka hapa tukumbuke kipindi mziki wa bongo ukiwa mziki
Kwa asiyeijua Michano ni hii hapa chini ila version chafu
Pia mwenye bongo fleva yoyote ya kitambo anaweza weka hapa tukumbuke kipindi mziki wa bongo ukiwa mziki
Kwa asiyeijua Michano ni hii hapa chini ila version chafu