Madame Ritha na Salama nashauri mpumzike msalie kuwa advisers na au producers.
Hebu Madame Ritha watafute hao wawili uwajumuishe kwenye timu yako.
Aidha, nashauri uongeze channel nyingine ya...
Mambo vipi wana wamungu.
Kuna hii program ya Hi-fi kwenye Sabufa au kwenye Smartphone naomba munielekeze jinsi ya kuitumia maana zipozipo tu kama chama cha Ccm.
kama wewe ni mfuatiliaji wa minanda au mchiriku utakuwa unawajua magwiji kama Mpogo, Jangwa, 7 Surviver na wengine kibao naomba tupeane ladha kupitia uzi huu kwa kuweka minanda nami nitajitahidi...
Kesho nina matumaini makubwa sana na timu yangu ya Taifa, kocha panga watu wazuri wa kutupa ushindi usiangalie eti kwa kuwa anacheza nje ya nchi basi yuko vizuri!
Ni ngoma ilitoka kwny mwanzo wa miaka ya 2000s lkn hadi leo ukiisikiliza bado ubora wake uko pale pale.....hapa nature aliumiza kichwa sijui nani alimtungia huu wimbo. Alafu kwa wakazi wa dar hiyo...
[https://globalpublishers]Naitwa Esma Mabruki, lakini watu wangu wa karibu walinikatisha na kuniita Esy. Mpaka leo Esy ndilo limekuwa maarufu.
Ni mzaliwa wa Dar es Salaam. Nilizaliwa katika...
Naomba ambaye aliweza kutunza zile Mixed CD/TAPES za JDs Bongo Explosion za DJ JD (John Dillinga Matlou) za miaka ya 2000 akiwa anafanya project hiyo ya Bongo Explosion anisaidie niweze kuzipata...
Leo nimepita katika ukurasa wa best DJ in town Mafuvu beiby na kukuta makavu yake live kwa baadhi ya dj wa clouds media wakiwemo DJ d ommy, DJ sinyorita, Dj Zero etc..
Kisa Vibe kama Lootee au...
Kwa wale wapenzi wa WWE kupitia channel pendwa ya etv kuanzia Sept 1 hakutakua na vile vipindi vya mieleka kupitia channel yao ya e kutoka sauz. Hii ni kutokana na mkataba kati ya kituo na...
Kati ya hawa watu, nani zaidi?
1. Kasimu Mponda
2. Abel Bartazar
3. Said Mabera
4. Bartholomeyo Mulenga...
Na je huyo unayemkubali wewe ni kazi yake ipi ilipelekea umvulie kofia?
cc...