Dah...huyo DJ ni mwanaume?Leo nimepita katika ukurasa wa best DJ in town Mafuvu beiby na kukuta makavu yake live kwa baadhi ya dj wa clouds media wakiwemo DJ d ommy, DJ sinyorita, Dj Zero etc..
Kisa Vibe kama Lootee au watupe attention..[emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 887258
He's a straight-forward person..Labda kama ni kiki sifahamu..lakini kwa ninavyo mjua..sio mtu wa kulia lia..anakuchana live ..hutaki acha, Temperamental! pengine maandalizi ya fiesta..who knows? LolMm nikishaona mtu anaanza kupayuka hivi kwny social media najua anatafuta sympath tu...kama unajua kazi yako inakubalika haina haja ya maneno mengii
😀😀Sasa Mheshimiwa Sana Kingunge wa Tunguli..Hivi kweli kuna msichana anaweza jiita Mafuvu? kweli??Dah...huyo DJ ni mwanaume?
Kwenye PB tena, ina maana wameshatoa ufafanuzi tayari?Kesho Dj Mafuvu on #PB[emoji870]️[emoji870]️
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 890647
Mmhh kama na kipindi wanampa basi ni kick hiyo tu " hakuna lolote hapoNdio nimesikiliza Xxl, wamesema watamuweka kwenye Kipindi PB tuone ilikua Kik amah
hahaha hizo comments sasa lolBaadhi ya comments za wadau..View attachment 890951View attachment 890953
Huyo kwenye pic ndo dj sinyorita??mzuriPosti ya Dj Sinyorita baada ya Fuvu kuwachana...[emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 887562