MSAADA WA NYIMBO YA SUMU YA TEJA By Vitalis Maembe.

agprogrammer

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
468
Reaction score
362
Habari za muda huu wakuu, kama kichwa kinavyojieleza wadau naomba mwenye nyimbo ya Vitalis Maembe sumu ya teja.
 
ZILIPENDWA AUDIO | Vitalis Maembe - Sumu Ya Teja | DOWNLOAD Mp3 SONG - MTIKISO ENTERTAINMENT

Ukishajua jina la wimbo na msanii huna haja ya kuja humu kuombaomba, nenda mwenyewe Google search wimbo unaotaka katika mfumo unaotaka kama ni Mp3 au video kisha u-download.

Acha kuzubaa Google ipo kwa ajili ya mambo kama hayo, mbona X huwa hamuombi mtumiwe mnaenda huko huko kuzipakua?

Jifunze kujaribu sio utake msaada kila sehemu, hicho kifaa unalichonacho kinaweza kukupa unachotaka bila kuombaomba.

Link hiyo hapo pakua wimbo uliokuwa unataka.
 
Hii link kimeo mzee baba.
 
Hii link kimeo mzee baba.
Mbona mimi nimeupakuwa kupitia hiyo link! Uko wapi nikutumie CD kwenye Basi.
Screenshot_20181017-132316.jpeg
Screenshot_20181017-132351.jpeg
 
Back
Top Bottom