Ilikua siku mwanana wanafunzi walikua ukingoni kumaliza somo lao la siku hio ndio mwalimu akawagusia wanafunzi wake namna ya kumuona jini akiwa katika umbile la binaadam, inafahamika kwamba majini...
UCHAMBUZI WA FILAMU π½π¬
THE DA VINCI CODE (2006)
-----β-----------------------------
Kwa desturi tunapotazama filamu yoyote ile, tunalenga kuziburudisha nafsi zetu.
Sio kazi rahisi mtu akae chini...
π Burudani bila kulipia? Ndiyo, inawezekana!
Kwa mashabiki wa movies na series β kama wewe ni mpenda burudani lakini huwezi (au hutaki) kulipia Netflix, Showmax n.k., basi uzi huu ni kwa ajili...
Unatengeneza Roboti kwa ajili ya kusaidia kwenye kulinda nchi na ulimwengu,
kisha anakusaliti na kutaka kuitawala Dunia je atafanikiwa movie yenye ukatili kinoma π₯π₯π₯
https://youtu.be/DgxBGtYo1mI
Habari za Jumatatu
Moja kwa moja kwenye mada ni kwamba nimekuwa nafuatilia tamthilia hii bila kufuata mtiririko. Ila siku za karibuni nimeifuatilia bila kupenda kwa kuwa nilikuwa nabembelezwa...
Hii Ndio Inaitwa hakuna jiwe litaachwa limesimama, kilichobaki labda Trailers Tu !
Ukiomba ushauri wa movies za genre unayoipenda unakuta kila movie ulishaivamia kitambo
Hadi upate muvi mpya ni...
WASIFU WA SAIDA KAROLI
Jina Kamili: Saida Karoli
Tarehe ya Kuzaliwa: 4 Aprili 1976
Mahali alikozaliwa: Kijiji cha Rwongwe, Wilaya ya Bukoba Vijijini, Mkoa wa Kagera, Tanzania
Lugha: Kihaya...
Comics za Charlie Chaplin zilikuwa zinachekesha sana. Kulikuwa na kamopuni ya film kutopka Uingereza iliyokuwa inaitwa Factory Films Limited ilikuwa na tawi lake Arusha na Nairobi, ilikuwa...
VERSE 1:
Yoh, yoh, yoh
Ndani ya Bongo mambo super hapana ubongo
Ingawa sometime Bongo chungu kama sifongo
Nafanya makaratee kama machinga mtaa wa Congo
Kimtindo mtindo nakata ngebe vimtima nyongo...
Habari zenu wakuu, yoyote mwenye kuwa na nyimbo hizi, wa Voice Wonder ft Banana Zorro ule unaitwa "mama yele" na wimbo wa zamani wa kundi la Wana Njenje unaitwa Maua naomba tafadhali ....
Katibu mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania bwana Farid Kubanda maarufu kama Fid Q amesema ndani ya kipindi cha miaka 4, Rais samia ametoa Trilioni 13 kwa ajili ya maendeleo ya muziki na sanaa...
Hello shalom people of God, my name is John am 26 I live in Dar es salaam Tz, I'm a Gospel singer minister with a big vision to reach out nations with my music I believe through my music many...
Muvi hata isifiwe iwe kali kivipi nikishaona star ni mwanamke anaetembezea kipigo wanaume huwa sina time nayo kabisa.
Kiuhalisia mwanamke mtu mzima mwenye miaka 28 anaweza kupigwa vizuri kabisa...