Kwa wapenzi wa series ''POWER'' iko vizuri

Kwa wapenzi wa series ''POWER'' iko vizuri

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,010
Reaction score
60,483
images

Kwa wale wapenzi wa drama hii sio ya kukosa.
Mi nilivyoanza kuiangalia mwanzoni niliona kama
inaniboa ila nilivyoendelea sikutamani iishe aise.
Kuna drama za kufa mtu, kila mtu anam'play'
mwenzie kwahiyo ukiangalia unatamani ujue
nani ataibuka jembe.​

Nwy, serie yenyewe inaitwa POWER, starring anaitwa James St.Patrick a.ka. Ghost, ni drug dealer ambae anamiliki club moja matata kwaajili ya ku- legalise pesa za unga. Mke wake anajua kila kitu na anamsapoti jamaa yake all the way kwenye ishu zake hizo, (ndoa yao mimi naona ni out of loyalty badala ya mapenzi kwasababu Ghost alipropose baada ya mkewe Tasha kum-msave mikononi mwa polisi). Nwy siku zinaenda the game gets tougher, Ghost na dealer wenzie wanachezewa akili na 50Cent ambae yuko jela na ndo allimfundisha Ghost namna ya kujijenga mtaani. Mpaka Ghost anamuua mshkaji wake akidhani amemgeuka kumbe ni set up. Nyumbani napo panakuwa pachungu mahaba yanapokolea kati ya Ghost na nyumba ndogo yake ambayo ipo kwenye kitengo maalum cha madawa ya kulevya na kinamsaka GHOST kwa udi na uvumba.

Hii series imejaa glamour na drama, excitement ya kutosha,mind games na kutokujua kwingi. It makes you want to know how things are gonna end up for everyone. Ohhh na wale mnaopenda SEX SCENES mtaenjoy maana jamaa sio wachoyo kabisa. And girls, GHOST ni bonge ya ''eye candy'' kuanzia sura, mwili mpaka pamba zake.

Watch it, you won't be dissapointed:couch2:

images

Ghost na mkewe Tasha

images

Ghost na 'small house' wake Angie

images

Best friend na msaidizi wa Ghost, Tonny
 
Season one inaisha baada ya club yake kufungwa kwa muda usiojulikana...

Anampigia simu jamaa ili amwambie yuko tayari kudeal na unga na anasema "I'll be the biggest drug dealer in new York"

Am waiting for season two...
Pia nasubiri dominion season two
Last ship season two(na hii issue ya Ebola that series inakuwehushaje hahaja)
Pia kuna Luther imeenda mpaka season 3 sidhani kama itaendelea.

Kwa sasa am watching arrow 3
Blacklist 2
V.D 6
Na The Originals.

Asanteni na polen kwa kuwachosha.
 
Innocizy nimeangalia wanasema season 2 mpaka mwezi Wa tano mwakani..I can't wait.

Arrow name Blacklist zinazidi kunoga.

The originals nimeangalia episode mbili za mwanzo tu naona ipo owwkey. Hizo nyingine sijaziona.
 
Last edited by a moderator:

Haya maswala ya kusubiri huwa sipendi kweli....hata game of thrones eti nayo mpaka 2016....
24 ndo sijui 2019 sijui lini hata wanakera
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom