Kwa ambae hajui mkasa huu upo hivi:
Team inayoshiriki ligi kuu ya uingereza cardiff city ilikubaliana transfer ya mchezaji wa nantes ya ufaransa Emiliano Sala. Mazungumzo yote yalikamilika mpaka...
Kwa wale walowahi kuangalia kipindi cha straight talk Africa cha Shaka Ssali Ile soundtrack kipindi kinapoanza na kuisha ni ya nyimbo gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisikiliza hii nyimbo kuanzia mpangilio wa sauti, ala zake zilivyopigwa humo ndani,namna walivyokuwa wanapishana humo ndan Bob Marley na Lauryn Hill na namna mashairi yalivyopangiliwa humo ndani...
habari ndugu kama kuna mtu anajua location sehem wanauza Cd movie or series latest hapa ambazo hazitafsiriwa na hawa madj kwa hapa dar es salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu,
Nasikitika kusema kwamba BIKO SPORTS HAWAKO FAIR.
Mtu akijisajili kwao hakuna namna ya ku unsubscribe kupata notifications pale kwenye website yao. Wamekuwa wanatuma sana message...
Ukisikiliza mziki wa Lucky Dube vizuri utagundua kamshinda Bob Marley kwa vitu vingi,sauti,beats,ingawa kiujumbe wanafanana,ila mziki wa Lucky Dube unavutia zaidi ukisikiliza.
Nadhani Bob Marley...
NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA 1:
Ilikuwa kwenye mida ya saa mbili usiku wakati tumekaaa kwaajili ya chakula cha usiku.
Wakati nakula simu yangu ikaita kuangalia mpigaji ni mpenzi wangu Sam...
Wakuu....ni channel gani ya startimes unaipenda?
mimi naipenda sana st plus (startimes plus nambari 119)
Hata wakiondoa channels zote hii wakiiacha sina tatizo.......naipenda sn maana ni series...
Mtunzi Juma hiza 01
Suzani alikuwa amejifungia chumbani kwake, wakati huo alikuwa akilia kwa uchungu. Hakutaka kuamini kile kilichokuwa kimetokea katika maisha yake.Mkononi mwake...
Tunalipia pesa nyingi ila tunaona channel chache,kwanini hamtaki kufanya utaratibu wa kuturudishia channel za nyumbani na pia muongeze channel za movie,music,wrestling badilikeni
Sent using Jamii...
Hizi movie
1.avengers infinity war 2018
2.captain america the winter soldier
Zimenivutia sana kama nyingne unafaham yenye maudhui kama yaliopo kweny movie hizo bandika hapa.
Msanii pendwa wa muziki aina ya afro pop toka pande za Naija Timaya ametuletea ngoma mpya akiwa amemshirikisha Kingkiba ngoma inaitwa Number one inapatikana kwenye EP inayoitwa Chulo vibes hapa...
Tumechelewa lakini bado hatujachelewa, mambo yanazini kunoga Otoman Empire, Basi hii ni Thread yetu maalum wa kupashana kinachoendelea kwenye Tamthilia hii inayorushwa na kituo cha Azam media kila...
1. Jack Ryan
> Kuipata nenda google andika Jack Ryan season 1 index (ukitumia operamin ni rahisi zaidi)
2. Ghoul
> Kuipata nenda google andika Ghoul season 1 index (operamini ni rahisi zaidi)
3...
Huu wimbo ameutoa siku kama sita zilizopita , full kumsifia mwanaume anayemkuna sawa sawa..
Wangapi wamemwelewa huyu kwenye hii staili mpya anayoimba
Wimbo Huo Huu Hapa: