Hii riwaya nmeisoma mda c mrefu na jina limenitoka ila ni kisa cha mdada jack na mumewe caros wakitaka kuiba benk naiomba hii mwenye nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataja baadhi of course Kenny Rogers lazima awe hapo.
kuna Kina Luke Bryan, Brett Young, Jack owen, Blake Shelton, Doly parton... etc
Hebu dondosha ngoma hapo
Brett Young ...Incase you didn’t...
Ijapokua wengi hua wanapata taabu sana kumuelewa Mrisho Mpoto lakini hakuna atakaebisha kua jamaa anaitendea haki fasihi, hebu sikilizeni huu wimbo wake mpya halafu mlete mrejesho. kiiitendwiiiili
MWANDISHI: NYEMO CHILONGANI.
SIMU: 0718 069 269.
MAHALI: DAR ES SALAAM
KAHABA KUTOKA CHINA 1
‘Nisikilize Rose. Unataka niseme nini ili ujue kwamba nakupenda? Unataka nifanye nini ili ujue...
Kila nikisikikiliza zilipendwa ya Mond na seduce me ya Kiba then nkihusianisha na comments za watu mtandaoni nashindwa kuelewa kama me nimedownlod nyimbo tofaut na zenu au sikio langu limepinda...
Huu ni wimbo wa bongofleva ambao nilitokea kuupenda sana ila umenitoka kidogo, una mashairi haya; Nilimfukuza mpenz wangu eti kwa sababu ya bintii, nilimfukuza wangu moyo eti kwa sababu ya bintii...
DR. MARCO MKALI, MARCO CHIZI KIDOGO
Alipita Metro studio, Serious Records, Kama kawa Records mpaka alipotuliza majeshi MJ RECORDS na kufanya kazi na mkubwa Master Jay huku pia akiwavuta wadogo...
Emancipate yourselves from mental slavery none but ourselves can free our minds, have no fear for atomic energy, cause none of them can stop the time, how long shall they kill our prophets, while...
NYEMO CHILONGANI.
UTAJIRI WENYE UCHUNGU.
Sehemu ya Kwanza.
“All people who live at the beach have to leave immediately because tsunami will come. Once you hear this announcement, tell your...
Verse yake iko hv
'Kazi yao yote ua bure, sasa wanaona ubaya
Sisi sasa nawashambulia, wasijue hata lakufanya
Jeuri yao wote sasa, imekwisha kabisa leo
Kucheza na miziki ya watu,sasa wamekwisha...
EP.01
Kaka yangu Denisi alikuwa ni dereva wa magari ya mikoani. Kupitia kazi yake hiyo, aliweza kujenga nyumba kubwa ya kifahari na mke wake ila hawakuwahi kupata mtoto kwa muda wa miaka minne...
Nimekuwa nikivutiwa sana na uimbaji wa hawa jamaa kwny huu wimbo na video yake ambayo sichoki kuitazama.mwenye lyrics za huu wimbo aweke hapa tafadhal maana nmetafuta sana ktk source nyingi bila...
Nyota wa mpira wa vikapu nchini Marekani LeBron James amewapongeza wachezaji wa ligi ya soka ya Marekani NFL ambao wamefanya mgomo dhidi ya rais Donald Trump na kumtuhumu rais huyo wa Marekani kwa...
Kwa wale wanaopenda uniqueness nadhani watakubaliana na mimi kwamba Treach should have a mention in one of the Best out-there to ever walk the earth, his flow is an art in itself.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.