Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Maandalizi ya Kizimkazi Festival itakayofanyika Agosti 12 hadi 14, 2026, yamepamba moto. Tamasha hili linalofanyika kila mwaka linatayarajiwa kuwaleta pamoja wananchi, wadau wa utalii, biashara...
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Hadithi ni tafsiri ya hadithi The Ransom of the Red Chief. FIDIA YA NUNDA Lilionekana kama jambo zuri, lakini subiri mpaka nikusimulie. Tulikuwa huko kusini, Alabama—mimi na Bill Driscoll...
2 Reactions
0 Replies
87 Views
Una muziki ambao ungependa upate beat au vocal, pandisha hapa vitatenganishwa File lazima liwe MP3 au WAV, Tuma audio yenye ubora wa juu ili kupata matokeo bora, audio yenye ubora mdogo inaweza...
1 Reactions
14 Replies
239 Views
Apple Music pays the NFL $50 million annually to sponsor the Super Bowl halftime show. But Usher won't get any of that money. Instead, he'll perform for free, leveraging the exposure to gain...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Yes nasubilia kuona tajiri akijirekodo clip akisema hadi sasa katumia bilion ngapi maana aishiwi maneno chupri chupri nyingi sana hakuna usajili wowote wa maana wamefanya hadi sasa.
2 Reactions
5 Replies
137 Views
Wimbo wa "Libala" ulirekodiwa na bendi maarufu ya Viva La Musica ikiongozwa na nguli wa muziki Papa Wemba. Msanii Reddy Amisi alikuwa mmoja wa waimbaji wakuu na nguzo muhimu katika bendi hiyo...
2 Reactions
2 Replies
141 Views
Wakuu natafuta nyimbo ambazo Zinamiondoko kama ya nyimbo hizi za rhumba 1. Innos b "avertisement" 2. Fally ipupa "Mh 3. Papa wemba "Emmanuelle" 4. Nyinginezo Yaan rhumba fulani ivi smooth afu...
1 Reactions
20 Replies
328 Views
Hizi ni nyimbo kali 20 za kiafrika za muda wote. Haihitaji ubishi. 1. Rangi ya chungwa - Tabora Jazz https://youtu.be/5zkWzZB8EYM?si=GVY_U-bk0DPEpAyj 2. Mario - Franco Luambo × TP OK jazz...
1 Reactions
7 Replies
263 Views
Wasukuma ni watu wanaopenda sana utamaduni wao hasa katika suala la nyimbo. Ni kabila pekee hapa nchini Tanzania lenye waimbaji wengi pengine idadi yao ni kubwa hata kulingana na waimbaji wa...
5 Reactions
39 Replies
5K Views
Mwaka huu nilikutana na clip ya music ikitembea WhatsApp na YouTube. Kiukweli aina ya uimbaji, uchezaji na upigaji wa ala za music ilinishangaza na kunifurahisha kwa pamoja. Hii ilinikumbusha DDC...
1 Reactions
1 Replies
132 Views
Nadhani kwa watu waliojitahidi kupereresha bendera ya Tanzania na hawa Varda Arts wapo Heko kwao..., Kwa kweli Uzalendo upo Moyoni na Uzawa ni kwenye Vitendo wala sio kwenye Ngozi..... Moja ya...
0 Reactions
6 Replies
758 Views
Kama nilivyoahidi siku za nyuma, hatimaye naomba nilete kwenu maelezo yaihusuyo iliyokuwa Wenge Musica 4X4 Tout Terrain BCBG.Kiufupi Bendi hii ndiyo ilini-inspire kuupenda muziki wa kongo lakini...
17 Reactions
61 Replies
26K Views
Wakubwa nipo katika mchakato wa kuandaa list ya nyimbo 100 zinazoitambulisha bongo fleva kwa kuzingatia vipengele:- (a) ilivyohit (b)utunzi (C)Ubunifu (d)originality (e)impact Naomba tushirikiane...
4 Reactions
44 Replies
424 Views
NILIEMDHANIA NI KAHABA KUMBE BIKRA MTUNZI:SINGANOJR . AGE:18+ NB:SIMULIZI HII NI YA KUTUNGA PDF KUTOKA SEHEMU YA KWANZA MPAKA YA 390 IPIO NITAFUTE WATSAPP 0687151346 PROLOGUE../DIBAJI...
35 Reactions
4K Replies
2M Views
WAASISI WA MUZIKI WA RAP " HIP HOP TANZANIA" Fresh X E - jina halisi ni Edward Mtui na ndiye hasa mwanzilishi wa kurap kwa Kiswahili katika miaka ya 1980 na alikuwa akiimba wimbo wake kwa...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Nyimbo hii inanikosha mashairi yake yana kwenda kama hivi "Tulikuwa na Salum mpaka kaenda Ahera wala hatukutukanana, Aah, alipoingia yeye aliyoleta si miziki bali ni matusi, Mji wa Morogoro...
0 Reactions
9 Replies
748 Views
Anayehitaji sound creap za Manju wa Muziki Masoud Masoud anifahamishe nawezaji kuzipandisha hizi sound humu??
1 Reactions
3 Replies
141 Views
Mwandishi: ROISA. Namba ya simu: 0694840213. Riwaya: JE UNANIKUMBUKA MARIAMU? ( USIPOHUKUMIWA NITAKUHUKUMU MIMI). sehemu ya 1. Nilikuwa nimebana macho yangu, nikihisi ubaridi wa ajabu...
1 Reactions
1 Replies
894 Views
Hii ni hadithi inapatikana katika app yetu ya kahawa time A SPY AND ASSASSIN IN LOVE - Continue Reading on Kahawa Time ikiwa imeandikwa na mwandishi wako mkali EDDAZARIA G. MSULWA ntakua napost...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
hapo watatu ninawafahamu washatangulia mbele za haki. Ri.p legends
1 Reactions
0 Replies
110 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…