JAMANI NDUGU ZANGU NAULIZA KAMA NATAKA KUPATA KAZI KWENYE HAYA MAGARI YA IT (YANI KUSAFARISHA MAGARI MADOGO KUTOKA KWENYE KAMPUNI ZA CLEARING AND FORWARDING)NAFANYAJE??
Sent using Jamii Forums...
Habari zenu wana jamvi,
Kwa yeyote anayejua majina ya movies hasa za kuhusu africa(za kivita au mapinduzi) naomba anisaidie tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
[Verse 1]
(RAYAKO)
Mrembo mwenye haiba usoni,
Uzuri usio na kifani,
Sauti yake ringtone,
Haiwezi ntoa mchezoni,
kinanda,
sauti yake minor ikipanda,
kwako nimeshafika...
Unaemuona Pichani Hapo chini ndiye Richard I Aliyekuwa Mfalme wa Uingereza Kati ya Mwaka 1189 - 1199, Inaelezwa Kwamba Alikua na Chembechembe za Ushoga! (Bila Shaka Sura yake Hapo Juu...
Basi la shetani: SEHEMU YA-01
Ulikua usiku wa kiza kinene katika jiji la Dar es salam, kutokana na uchache wa magari barabarani basi yale machache yaliendeshwa kwa kasi.
“Tumuache hapa hapa”...
NISAMEHE GRACE-01
Anza nayo..
“Grace Sebastian ni msichana aliyetokea kunipenda sana tokea siku ya kwanza nilipoonana nae chuoni kila mara nilipokua nikikutana nae hakuchoka kunitamkia wazi...
Baby I know the story
I've seen the picture
It's written all over your face
Tell me, what's the secret
That you've been hiding
And who's gonna take my place
I should've seen it comin'
I should've...
Ni hivi, kama wanamuziki wa wasafi wanapitia humu naomba wabadilike kama wanataka kuendelea kushindana katika nyanja za muziki. Hawa jamaa wamekuwa wakijaribu kuimba live katika show zao za hivi...
Ziwa Hili lipo Kusini Magharibi Mwa Jamhuri ya Dominica KM.10.5 Nje Kidogo ya Mji wa Roseau.. Lipo Ndani ya Hifadhi ya 'Morne Trois Pitons National Park'.
Ziwa Hili Lipo Tangu Miaka ya 1800 na...
Iko wpi ile kampuni ya Marcon Kits ambayo inasemakana iliingia mkataba na Yanga wa kutengeneza vifaa vya michezo kwa thamani ya milioni 932 kwa mwaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
MWANDISHI: NYEMO CHILONGANI.
SIMU: 0718 069 269.
MAHALI: DAR ES SALAAM
KAHABA KUTOKA CHINA 1
‘Nisikilize Rose. Unataka niseme nini ili ujue kwamba nakupenda? Unataka nifanye nini ili ujue...