Au asikae yoyote kwenye iron throne
Sent using Uncesored Device
Hukupata mtu wa kukusimulia na kukuelekeza pind unapo kwama,az for me niliicheki pekeangu nikaielewaa nikaipenda,bt niliilewa zaidi nilipoirudia.Hii series ilinishinda sijui kwanini
Happiness is a choice
PoleeeHii series ilinishinda sijui kwanini
Happiness is a choice
Mimi mwenyewe mwanzo ilinishinda ila nikaja kuielewa baadae. And I can't wait kuangalia season ya mwishoHii series ilinishinda sijui kwanini
Happiness is a choice
Mwanzo sio rahisi kuielewa. Hata na mimi sikuielewa mambo ya king au queen zilikuwa sio series zangu. Ila baadae nilipoielewa niliipenda. Mwanzo ukiangalia unaona kama boring fulani hiviDaa nataman sana nipate mda wa kuifuatilia hii series, inasifiwa mpk naitaman yan, kuna kipind niliangaliaga nusu epsode kwanye season one sikuielewa elewa nikakausha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Owner wa Game of Thrones ni HBO, kama unapata HBO iwe through netflix au popote pale utaona, unless otherwise ni mwendo wa wizi tu na piracy... na hapo ni pengi tu ma torrent au streaming website ni za kumwaga
Niliichek mwanzo kabisa mkuu, mara mtu anakimbizwa, mara wanakutana na maiti zimelala, mara anakamatwa na kukatwa shingo kwenye gogo daa nikaachia hpo.Mwanzo sio rahisi kuielewa. Hata na mimi sikuielewa mambo ya king au queen zilikuwa sio series zangu. Ila baadae nilipoielewa niliipenda. Mwanzo ukiangalia unaona kama boring fulani hivi