Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Hii movie sijaielewa nimesikia watu wengi wakiizungumzia tweeter anaeifahamu basi aniweke apa
1 Reactions
3 Replies
647 Views
Wakuu nautafuta huu wimbo Kwa mwenye nao naomba anitumie. Maana nimeutafuta sana bila mafanikio Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa yeyote alieko Dar naomba anisaidie hii series ya INTO THE BADLANDS kuanzia season 1 maana naona inaongelewa kila mahala na mimi ndo sijaiona Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
SANAMU YA SOPANGA COMPLETE SERIES HAPAAA, HII NI NOMA SANA, FULL MAPENZI NA VISA UCHAWI SANAMU YA SOPANGA episode 1 SANAMU YA SOPANGA episode 2 SANAMU YA SOPANGA episode 3 SANAMU YA...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wale wapenzi wa filamu za kitapeli/wizi, akili mingi/ masterplanners tudiscuss ni filamu zipi unaona watu walitumia akili sana kufanikisha jambo lao!. Kwangu mimi hizi filamu huwa nabaki kuwaza...
5 Reactions
39 Replies
8K Views
Habari wakuu.. Naomba kuuliza.. kama kuna mtu anayejua..habari za muigizaji wa Naigeria Ramsey Noah.... Bado yupo hai au alifariki? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
987 Views
Mtunzi Ally Katalambula Sehemu ya 1 “MWANAUME kutokwa na machozi, iwe kwa sababu ya maumivu au majonzi, si kitu kinachokubalika katika ukoo na kabila letu. Ukiona mwanaume analia ujue ana roho...
16 Reactions
741 Replies
110K Views
Wamebakiwa na moja tu,mbona nyinyi hamjawahi kufika. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu jamaa niliwahi kuona clip zake akiwa kwenye harusi, na sherehe nyingine mbalimbali. Anajitahidi sana kuiga Yale ayafanyayo Mheshimiwa Rais. Mara zote huwa na huyo mlinzi wake, wapo vizuri...
2 Reactions
4 Replies
951 Views
Nipsey Hussle has died after being shot multiple times outside of his retail store, Marathon Clothing, in Los Angeles on Sunday (March 31), according to NBC News. Law enforcement sources report...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
What good is the bread if my niggas broke? What good is first class If my niggas cant sit? jcole
2 Reactions
35 Replies
4K Views
naomba tupige kura kati ya haya makundi mawili yaliyotikisa dunia miaka ya 70 pia mwenye kujua historia yao vema na walipo Kwasasa na utajiri wao Je walishawahi kuja Tanzania Nani waliofariki...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakati kila mtu akianza kuipenda na kuielewa tamthilia hii pendwa, ghafla tarehe 02/04/2019 ilihamishwa kutokea kuonyeshwa saa 21:30pm kwenda 00:30am. Leo tarehe 03/04/2019 inaonekana imeondolewa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Moyo wa Mama! Na Bishop Hiluka ZAWADI, msichana mwembamba mrefu, akiwa na urefu wa futi tano na inchi kumi na mwenye umbile lililovutia mno alikuwa anatembea taratibu kando kando ya barabara ya...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
SIKUWAHI kabisa kuwaza kwamba ofisi yangu, ambayo mwenyewe nilipenda kuiita studio, ingeweza kuwa na kiza cha kutisha kiasi kile na hata kufikia hatua ya kunifanya kupagawa na kuogopa mno, mpaka...
4 Reactions
37 Replies
6K Views
Kati ya movie nilizowahi kuziona na nikashindwa kumaliza kuangalia ni mojawapo hiyo series ya final destination. Aisee hizo movie ilikuwa siwezi kuangalia ikaisha bila kufumba macho. Ipi...
1 Reactions
85 Replies
8K Views
Je Unaijua Nchi hii ya Iceland? Karibu Uijue Hapa Kupitia #FMfacts!. 1. Iceland ni Nchi inayopatikana Barani Ulaya, Idadi ya Watu Nchini Humo inafika 340,000. Iceland Hakuna Mbu wala Nyoka!. 2...
4 Reactions
7 Replies
4K Views
Baadhi ya Miti Hiyo iliyopo na Minyororo Hadi sasa Ina Bango lenye Ujumbe "I AM UNDER ARREST"[emoji16] Inaelezwa Kiongozi wa Kikoloni Nchini Pakistan Wakati Huo Alikua Mlevi sana Hivyo Kuamuru...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Himaya ya Ottoman ni Moja Kati ya Himaya Iliyokuwa Kubwa Zaidi Duniani Wakati wa Utawala Wake Huko Ulaya na Maeneo Mengine Mengi ya Afrika na Asia. Utawala huu Uliitikisa sana Dunia Kwa Zaidi ya...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
===== Song: "I'M SORRY JK" Hook: It will one day make sense/Nikisema hakuna president kama JK/ Tanzania inakumiss yaani daily/ Kwa niaba ya wabongo I'M SORRY JK/ Lyrics:1 I'm sorry JK nimeona...
16 Reactions
126 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…