rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,170
- 43,978
Harmonize katoa wimbo mzuri sana aisee...yani daah Inspiration song kalii kuliko kawaidaa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Kweli Diamond lazima amuogope japo ni Kinyago alichokichonga mwenyewe lakini duuh... WCB for life..Isikilize hapaa..
USIKATE TAMAAA..!
USIKATE TAMAAA..!