Hbr wapendwa.
Naomba kuwasilisha mawazo yangu ktk mahali hapa ili kutoa ninachoona kinaweza kubadili mtazamo wa jamii kwa wasanii wetu.Na pia kubadili mtazamo wa wasanii wetu ktk mbinu...
Tekno amekamatwa na Polisi baada ya picha na video kusambaa mtandaoni akisakata densi barabarani mjini Lagos akiwa na umati wa wanawake waliokuwa nusi uchi.
Kukamatwa huku kunakuja saa chache...
Kwa wale wapenzi Wa movies na Series Zilizotafsiliwa Tumeanzisha Channel huko Telegram inayotoa Movies na series zote zilizo tafsiliwa Bureee kabisa Kazi Yako nikuandaa Bando tu Nakupakua Vitu...
habari
Naomba msaada wa movie au series nzuri inayohusu maisha ya utafutaji hasa mali(utajiri). Ambayo muhusika anatoka from bottom to top katika utafutaji yaani anatoka katika maisha ya ufukara...
Show hii yaoneshwa CLOUDS na AZAM...lakini kawaida sanaa...
Nilitegemea makubwa sana na hii TV SHOW ambayo tumeitohoa kwa wenzetu huko kama America' got talent...
Nikategemea tutaona vipaji...
Nampongeza sana mtunzi na wahusika wote katika tamthilia inayoitwa MANENO YA KUAMBIWA ni moja kati ya tamthiria bora sana kuwahi kutokea Tanzania, ina mtiririko mzuri wa matukio huku ikiwa na...
SEHEMU YA 01
Jina langu ni Kassim Fumbwe. Nina umri wa miaka ishirini na minane. Mkazi wa jiji la Dar es Salaam.
Wazazi wangu walifariki dunia wakati nikiwa mdogo. Nakumbuka tulikuwa tunasafiri...
Hallo,
Binafsi huwa napenda sana
Kuangalia hizi thriller movies, tena ukutane na wale madairekta wajuzi
Wa kucheza na scripts, kila tukio linafuata unatamani kujua nini kitachofuata huku ukiwa...
Sina maneno mengi. Kwa wale wapenda good music waliofanikiwa kusikiliza japo vipande kidogo vya hii album watakubaliana na mimi kwamba ni album kali kuwahi kutokea.
Album imesheheni collabo ya...
Kwanza niweke wazi kabisa, EMINEM ndiye mwanamuziki wa HIP HOP ninayemkubali kuliko mwanamuziki mwingine yeyote wa HIP HOP, yaani ninamkubali kiasi kwamba nikiona "list" yoyote inayohusu...
Kwa macho ya harakaharaka inaonyesha kuna mamilioni ya kutosha yapo kwenye intertament!
Naomba mnisaidie ni ABC gani nipitie na Mimi niwe promoter ama meneja kwenye hii biashara!?
Never waste your time, never let you go
Talk down, back-to-back, you're the best I know
Oh yeah, you dey blow my mind
Blow my mind, blow my mind
For your love, I go change my life
Change my life...
Kwa wale wapenzi wa comedy..kuna hili kundi la mark angel comedy from Nigeria. Ndani ya kundi utakutana na wakali kama uncle Mark, Emanuella, Chikwamecka.. na wengine....
Kwa kweli vijana wako...
Leo nipo na The Brave
Taja series/movie ya kimatrkani ikionyesha mmarekani anavyopambana na ugaidi.Hasa Midleeast syria,iraq,afghanstan huko kunakuwa ni shida!
Tupia hapa!
Hizi taasisi mbili Simba na Yanga ni team zenye washabiki na wanachama wengi zaidi ya Chama chochote cha siasa hapa nchini,.. Mwekezaji mmoja mwenye hisa 49 ana nguvu na sauti kubwa sana katika...