Mark Angel Comedy!!!

roservelt

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
1,418
1,511
Kwa wale wapenzi wa comedy..kuna hili kundi la mark angel comedy from Nigeria. Ndani ya kundi utakutana na wakali kama uncle Mark, Emanuella, Chikwamecka.. na wengine....
Kwa kweli vijana wako vizuri na creative, mi emanuella hua ananikosha..kama hujafanikiwa kuziona comedy zao zitafute YouTube .......
Kwa kweli vijana wako vizuri..
 
Hiviii hawajatoaa DVD zaoo maanaa nkizamaga YouTube napoteleagaa ukoo mpaka text pendwaa kutokaa Vodacom kifurush kimekwishaa
 
Back
Top Bottom