Wale wapenzi wa series/movies za kupana na magaidi wa kiarabu njoo hapa

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Leo nipo na The Brave
Taja series/movie ya kimatrkani ikionyesha mmarekani anavyopambana na ugaidi.Hasa Midleeast syria,iraq,afghanstan huko kunakuwa ni shida!
Tupia hapa!
 
kuna series moja mpya inaitwa SIX ....ni balaa sana
Hii seal team 6 naona wanaongea sana action kidogo. Yessss maongezi yao yapo very strategic kupigana na ugaidi lakini seal team 6 haifui dafu kwa strike back. Kitu cha strike back ni shikamooooooo
 
Hii seal team 6 naona wanaongea sana action kidogo. Yessss maongezi yao yapo very strategic kupigana na ugaidi lakini seal team 6 haifui dafu kwa strike back. Kitu cha strike back ni shikamooooooo
Mimi strike back kilichonikera ni kwamba kila episode inakuwa na mission yake... niliangalia season kama mbili tu nikaiacha..

Nimeangalia Seal team iko seaso Ya 2...ni kali sana
 
M
movie gani mkuu
Hzo za kigaidi.huwa si concetrate sana na majina.

Kuna moja jamaa wa korea sijui,walienda kupambana na magaidi aiseee ni noumaa kuna dogo la kigaidi na kiarabu linalenga shabaha hatari.

Ila alikuepo sniper mmoja upande wa kijeshi akawa anapambana na dogo alimkosa kosa akamtoa sikio tu..

Sijui zinaitwaje.ila naogopa sanaankuzitizama mana naona kama ndo kweli vile..
 
Back
Top Bottom