Must watch these thriller movies, pitia huu uzi kama nawe ni mpenzi wa Movies hizi movie

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Jan 29, 2013
1,303
1,500
Hallo,
Binafsi huwa napenda sana
Kuangalia hizi thriller movies, tena ukutane na wale madairekta wajuzi
Wa kucheza na scripts, kila tukio linafuata unatamani kujua nini kitachofuata huku ukiwa umeshikilia moyo wako usijedondoka kwa kihoro horo kwa namna picha ilivyo dairektiwa na kuleta uhalisia, mfano wa picha kama Apocalypto ya Mell Gibson.

So far,
My number one thriller movie goes to this film by name of REVENGE 2018,
Ikifuatiwa na Tresspassers 2018.

Kama hujaziona, fanya bidii uzitafute.

You can also share your
Favorite thriller movies ambazo
Ungependa nasi tuzifuatilie.

Karibuni.
 
storyteller

JF-Expert Member
Nov 5, 2014
1,427
2,000

Kuna hili la huyu jamaa linakuja.......

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom