Bongo kuna vipaji vya muziki ila sijui shida ni nini

Ghost town

Member
Joined
Dec 9, 2024
Posts
79
Reaction score
146
Wazee sujuwi ni mimi tu au pia kuna wengine wanaweza kuona hili binafsi nimemsikiliza huyu jamaa nimeona ana kitu na cha tofauti na hawa wasanii wengine tuliowazoea na uimbaji wao.

Hebu jaribu kusikiliza alafu utoe maoni yako poleni kwa kuwachosha na hizo mb

Tatizo sio kipaji, bali ni nani yuko tayari kuwekeza pesa zake pale ili baada ya muda fulani aweze kupata faida?

Unavyojua tena binadamu, akishaanza kung'ara anaanza kusema, mwekezaji anamnyonya, na kusahau alipomtoa.

Nyakati hizi, kipaji bila hela hakina maana; ni sawa na wazo bila mtaji ni sawa sawa na ndoto tu.​
 
Mkuu ni kama mimi tu aiseee nimeandika zaidi ya story tano na zote nimeweka kwa mfumo wa script yaan ilichokuja kutokea mpaka sasa nimetupilia mbali

Nimegundua mimi nilikua mvivu wa kufanya kzi kwa bidii
 
Muhimu, uwe na pesa ya kuwekeza
 
Tatizo sio kipaji, bali ni nani yuko tayari kuwekeza pesa zake pale ili baada ya muda fulani aweze kupata faida?

Unavyojua tena binadamu, akishaanza kung'ara anaanza kusema, mwekezaji anamnyonya, na kusahau alipomtoa.

Nyakati hizi, kipaji bila hela hakina maana; ni sawa na wazo bila mtaji ni sawa sawa na ndoto tu.​

Tatizo sio kipaji, bali ni nani yuko tayari kuwekeza pesa zake pale ili baada ya muda fulani aweze kupata faida?

Unavyojua tena binadamu, akishaanza kung'ara anaanza kusema, mwekezaji anamnyonya, na kusahau alipomtoa.

Nyakati hizi, kipaji bila hela hakina maana; ni sawa na wazo bila mtaji ni sawa sawa na ndoto tu.​
Ni kweli kabisa siku hizi kipaji kinahitaji pesa ili kionekane
 
Ka unazo nyingi za taratibu tuwekee kama hutojali.
 
Back
Top Bottom