Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’
WANAOUCHEZEA muziki wa Bongo Fleva hawajui historia yake na hawawafahamu waliotoka jasho na damu kuufanya ukubalike na uwe biashara.
Nasibu Abdul ‘Diamond...
Habari wanaJF leo August 13 ni siku ya kuzaliwa wa mwanamuziki Fid Q basi jamaa ameamua kuachia wimbo mpya unaoitwa "Bongo Hip Hop" ukipata nafasi itafute jamaa amechana kwa kiwango ba Majani...
Mimi ni mshabiki wake lakini jamaa haeleweki kuwa kaacha mziki au bado anaimba. Inshort ni mvivu na hajitumi kazi kulialia tu kuwa anafanyiwa fitina na ngoma zenyewe anazotoa hazionekani yani yupo...
Za chini chini ya carpet ni kwamba ma presenter wafuatao soon wanakuwa ndani ya Wasafi FM na Wasafi TV
1. Meena Ally
2. Dina Marious
3. Dullah Ambua
4. Perfect Crispin
5. Barbara Hassani
Baada ya kuona harmonize kaiteka social media na uno, kama kawaida yao wakaenda mbembeleza Iyobo na Aunty warudiani ili kubadili upepo katika social media.
Sasa ukiwa mhasimu wao nikuandaa kiki...
Wakuu kwa wale wapenzi wa aina hii ya muziki msaada tafadhali mwenye access ya hii nyimbo, ni naikubali sana kila mahali ninapojaribu kuitafuta ni kama vile wameifuta au kuiblock..
Msaada...
NI SHIIDA!
"Ha! Ha! Ha! Huyo binti yako anaitwa nani?"
"Ah! Achana naye, naona hasira hata kulitaja jina lake," alisema mama Juliana huku akionesha hasira za waziwazi kwa binti yake huyo.
Muda...
Alikiba kiukweli lazima awe na stress za hali ya juu maana ameshtuka toka usingizini amekuta he is not a King anymore yaani kijana Mondi atamuua kwa stress aisee. Ingekuwa kimarekani hawa jamaa...
Binafsi si mpenzi sana wa vipindi vya michezo ya kuigiza vya Tanzania. Nlijaribu miaka flan nikaona vimepoteza uelekeo na asilimia 85 hawajui kuigiza.
Wanafanya mambo ya kitoto sana, michezo...
Mtunzi Ally Katalambula
Sehemu ya 01
Jina langu naitwa Sofia ni mama wa mtoto mmoja. Katika familia yetu, mimi ni mtoto wa kwanza kati ya watatu, wadogo zangu wawili wote wakiwa ni wavulana...
Ulimwengu wa entertainment (burudani) unaenda kasi sana, vitu vinabadilika kila leo, level ya ushindani imekuwa kubwa pia, mbali na kushuhudia hamahama ya watangazaji kutoka Media House Moja...
MTOTO WA MWENYE NYUMBA-01
(simulizi fupi ya kusisimua)
ROBIN MIHO
0776741545
Ilikuwa ni saa kumi jioni James alipowasili nyumbani,Vikindu sokoni wilaya ya Mkuranga akitokea katika kibarua cha...
Are there any songs that ease the sting of a break-up? Or any songs that make you think "yeah, THEY totally screwed up?" Or any songs that make you sob uncontrollably for the one who got away...