Habari yako ndg! Mpendwa! Naitwa Kefasi Mwasile ,Niko Mbeya
Namtumikia MUNGU KWA kuimba na kufundisha uimbaji wa praise team, kwaya, na mmoja mmoja, makanisani na mtandaoni.
LEO NATAMANI...
Umofia Kwenu wana JF,
Jua Changamoto alizopitia mwandishi "Henry Mdimu" katika Story yake ya Mimi ni Shujaa.
MIMI NI SHUJAA: PART 1
Uandishi wa habari ni kazi niliyoipenda tangu niko shule ya...
Maisha na muziki hakuna mtu asiyependa kusikiliza muziki ila tunatofautiana kuna wanaopenda hiphop,rnb,pop,reggae,gospel, etc.
Tuambie unapenda album gan ya mziki? Na ni ya msanii gani ili na...
Mtunzi: Washawasha
Natumai mko poa na jumamosi ya leo,mi Niko swafi hali ya hewa inaruhusu kufanya yake mambo yetu.
Kwa jina naitwa Augusto nina miaka ishirini na tano,nimeajiriwa kwenye duka...
Mbunge Joseph Mbilinyi 'SUGU' akitoa Burudani ktk hafla ya Wabunge wa CHADEMA ya kumpongeza Halima Mdee baada ya kumaliza adhabu ya kutohudhuria Mikutano miwili ya Bunge, Mdee alisimamishwa...
Huyu jamaa mbwembe zote hizi kumbe kakopy na kupest wimbo huo,ingia u tube andika jina la wimbo "soapy" wa Naira Manley ucheke, kwani mi nimecheka sana sikutegemea kuona Mondi kufanya hivyo.
Mtunzi; Washawasha
Mambo zenu,mi Niko poa kabisa,kwa jina naitwa Maria Rosa,mwenyeji wa mkoa wa Mbeya lakini kwa sasa naishi Dar es salaam,nina miaka 31,leo nitawahadithia zawadi ambayo Mume...
Kuna haya makundi yalichuana saana kwa sababu aina ya uimbaji wao ulifanana. Waliuteka sana ulimwengu wa muziki hasa wadada ndo walipenda sana nyimbo japo na wanaume na tulikuwepo kuwasindikiza...
Kiufupi nianze tu kwa kusema watu wengi sio waumini saaaana wa aina ya muziki anaoufanya msanii Lavalava. Kwa muda mrefu sasa style yake ya uimbaji imekuwa haiendani kabisa na aina ya muziki...
Kwa yeyote anaeweza kuniorodheshia nyimbo hizo za kingereza anaimba binti mmoja hivi sijui aitwa lliiwine.
Asee anaimbaga nyimbo zake zinasikilizwaga mara nyingi usiku mkiwa kwa kitandani...
Naongelea ngoma mpya ya msanii machachali wa bongo fleva Diamond Platnumz ...Baba lao
Binafsi naona hii ngoma sio nzuri kabisa nikiweka pembeni ushabiki
Sasa swali linakuja kwenu mnaoujia mziki...
Kwenye comment tuache story za kuponda au kusifia, wewe weka jina la mkali wako hapo kisha tutahesabu kura.
Unaandika mara moja tu kuliko kurudia rudia.
Kura yangu ni kwa: Harmonize - Uno
Kama mfuatiliaji wa muziki wa bongo kuna vitu tunakubaliana kuwa Kiba na Harnonize kwa nyakati tofauti wamenufaika sana na uwepo wa Dai.
Alikiba amekuwa mshindanishwa wa Diamond kwa muda mrefu...
MUZIKI ni biashara kubwa sana katika karne hii ya 21 ambapo tumeshuhudia vijana wadogo wakitajirika kwa namna ya ajabu. MUZIKI umefanikiwa kukamata nyanja mbali mbali za uchumi, kupitia biashara...