This is made in green city, the beginning and the end.
Mbeya, where talent was born! Tanzania knows! Made in Green City talks about variety of things like poverty, war against ignorance and...
Huyu jamaa akitamba na nyimbo nyingi kali sijui kapotelea wapi?
Nyimbo ninazozikumbuka ni
1. Bongo la Biashara akiwa na Mejja (Okonkwo)
2. Bidii Yangu
3. Kwaheri akiwa na Sanaipei Tande
Yupo...
Habari za usiku wadu!?
Sema kweli mziki Ni sehemu ya burani mhimimu Sana katika maisha yetu.
Tukiachana na nyimbo za hapa bongo Kuna nyimbo za huko mtoni. Kupenda waimbaji wote haiwezekani kwani...
Wakati nachakura chakura mitandaoni nimebahatika kupata clip kutoka kwenye Channel ya YT ya Kara and Nate. Clip inaonyesha sehemu ya kupumzika na mashamsha ya ufukweni huko Maldev. Maldev ipo bara...
Habari zenu,
Nipo nimecheck hapa trela la Mulan toka kwa Mtayarishaji na Muongozaji Walt Disney ila sijaona movie nyenyewe kabisa lakini trela Naona kabisa kuna kitu kimemiss mule Disney hajaweka...
Intro:
Nasema Tonight, Nasema Tonight,
Huu Ni Mejja A.k.a Okwonkwo, Yo, Ah, Yo,
Verse 1:
Nimechoka Na Ujinga, Nimechoka Na Stress, Nimechoka Na Ufala,
Nimechoka Na Mtu, Anakubeba Beba Kama Maziwa...
Heshima kwenu wakuu...!
Kuna kazi inayotakiwa kurekodiwa inahitaji underground female singer that's why nimeomba msaada wa mtu yoyote anayemfahamu huyo sister au studio or producer aliyerekodi...
Niajee wadau wa burudani.
Leo C.E.O wa Kondegang ameonyesha uwezo wake wa kurap kupitia beat ya wimbo wa 'serikali kuu'. Lakini pia tumeshaona wa2 Kama Diamond Platnumz, Rayvanny na (Zuchu kwenye...
Kuna wimbo ulioimbwa na msanii kutoka Kenya unaongelea mafisadi. Kiitikio chake ni "Sitasimama maovu yakitawala"
[emoji120][emoji120] Nisaidieni jina la nyimbo iyo na jina la msanii
Nautafuta...
"Aaaah shemeji bwana subiri basi nimalize kuoga" Nilisema kwa sauti ya msisimko lakini shemeji hakujali ombi langu. Akachuchumaa chini huku akiipeleka machine yangu mdomoni kwake na kuanza...
Inakuaje Wakulungwa I hope mko poa, Direct to the topic
The King of Afternoon radio shows,Hamis Mandi aka Bdozen,B12,B Twelve,B Twangala Twizzy,B kumi na Bee,B Wherever,The Navigator himself, The...
Pongezi kwa huyu nguli kwa kutupatia story za kusisimua.
Tuna members humu wanaweza kuwa msaada sana kwa huyu jamaa, naomba apewe msaada ili azidi kutoa vitu vikali zaidi.
Hakika wamepatia...
Spider man hasa ile iliyoigizwa na Tobey Maguire kwa jinsi ninavyoona ndo movie ya masuperhero iliyotokea kupendwa zaidi....
Enzi hizo tuko watoto haijalishi watoto wa shule au wa kitaa kila...
Simulizi: CRAZY IN LOVE 01
Mtunzi: Kalmas Konzo
Simu: 0625 646265
Ilikuwa ni siku mbaya sana kwa Philly Mathew na mama yake. Ilikuwa ni siku ambayo ilikuwa ni ngumu sana kufutika katika fikra za...
FB Group: STORIES
SEHEMU YA 01.
Katika falme ya Tardosen alikuja mtu kutoka falme ya mbali sana akiwa na farasi mweusi. Knights of Tardosen wakiwa juu ya minara ya ulinzi katika falme hiyo ya...
Kwa wote mnaomchukulia poa Don,hebu tumieni dakika nne kuangalia video mpya ya member mwenzetu wa JamiiForums asiyeishiwa vioja DON NALIMISON
Tunatafuta meneja tu sasa tuanze fanya show za...