Msanii JuaCali yupo wapi?

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,463
Huyu jamaa akitamba na nyimbo nyingi kali sijui kapotelea wapi?

Nyimbo ninazozikumbuka ni

1. Bongo la Biashara akiwa na Mejja (Okonkwo)

2. Bidii Yangu

3. Kwaheri akiwa na Sanaipei Tande

Yupo wapi siku hizi, je kaacha kufanya mziki?
 
BONGO LA BIASHARA(LYRICS)
Intro (Jua Cali)
Bongo la biashara
Au sio
Black market
Ama vile watu wa mtaani waiita
Mra
Verse 1 (Jua cali)
Naweza kupitia leo nikuonyeshe ile kitu
Time gani ni poa majioni ama usiku
Ni laptop noma ki – 14 inch hivi
Ma wires ziko na screen yake ni fiti
Saa ile CD changer ulisema aje
Niite mtu wa sound aiweke kwa gari
Kwenye woofer na ma-chrome
Technology noma iongezee i-pod
Tape madirisha basi uache mezesha
Vuta kioo juu kuna moto nataka kukuonyesha
Ah uko na shughuli, baadaye basi
Kuna mtu hapa lazima nimfungie kambi
Nasikia uko na simu noma
Gova akitokea utaniona
Chali yangu naenda Garissa
Hujasikia madolari mi ndio hubadilisha
Bei ya kutupa kiu-seventy
Baadaye nikute ngazini juu ya miti, mogoka
Chali yangu tumefunga base tuonane kesho
Chorus
Ni ya leo, Ni ya leo
Tunaziuza hamsini
Ni ya leo, Ni ya leo
Tumezifungua tu saa hizi
Ni ya leo, Ni ya leo
Wee jichukulie yako
Ni ya leo, Ni ya leo
Kwenye viatu na mng’aro
Verse 2 (Mejja)
Niaje mathee, Niaje mathee
Siku ya futari uikuwa na shida ya sufuria
Niko nazo lakini wee ntakuuzia tu mia mia
Utatumia tu steel wool ya kutoa hizi alama
Lakini hizo alama zinakaa za kina Amina
Ah si unajua vitu zingine mathee hufanana
Ntakupitia jioni ah jo! Niaje Johnny!
Si unajua ule fala alinipatia burungo flani
Ati nikuwe broker
Nitampiga bafu amesahau broker hugeuka
Mwishowe akuwe the owner
Ngoja ataona
Wee niaje niko na rangi ya nyumba
Wee tafuta sonko na mahali tunaeza uza
Ama tutumie ka face-painting
Tupake watoi bora tu tupate senti
Unakaa umesota
Unakaa lituni
Si unibebeshee hizi mbao tukauze ka kuni
Au uko na cd ndani ya nyumba zimeharibika
Tunaenza wadanganya hizi ni za mtambauka
Ama twende ghetto
Tufungue kibanda
Tuwauzie kahawa nakuonyesha itawabamba
Si ndalasini si karafuu
Tutawachanganyishia zote waskie nafuu
Kisha ikishawabamba
Si unajua nini inafuata
Kuwasanyia njumu na mambota
Washindwe ni mogoka imeshika ama ni kuota
Wakishika ujanja, car wash tunaanza
Kwa ile hali ya kuosha
Rim inapotea
Side mirror inapotea tenje inapotea
Makarao wakikuja
Gari inabembeaChorus
Ni ya leo, Ni ya leo
Tunazinza hamsini
Ni ya leo, Ni ya leo
Tumezifungua tu saa hizi
Ni ya leo, Ni ya leo
Wee jichukulie yako
Ni ya leo, Ni ya leo
Kwenye viatu na mng’aro
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom