Kibao kipya cha member mwenzetu Don Nalimison

Kibao kipya cha member mwenzetu Don Nalimison

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,208
Reaction score
3,609
Kwa wote mnaomchukulia poa Don,hebu tumieni dakika nne kuangalia video mpya ya member mwenzetu wa JamiiForums asiyeishiwa vioja DON NALIMISON

Tunatafuta meneja tu sasa tuanze fanya show za mikoani na yeyote mwenye wazo anaweza wasiliana na Don

 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi mbona huwa mnatutafutiaga zambi..? Sasa unataka tuandike kwamba hiyo ni kazi nzuri mkuu.. kwa ku compare na kazi ipi ndugu..?

Okay hongera kwake kwa kazi.

hiyo hongera imetosha mkuu
 
Hiyo kazi ametoa mwenyewe don au imehakiwa kwenye cm yake?

isijekuwa alijiandalia kusikiliza mwenyewe na washkaj zake wa karibu hlf nyie mmeileta uku.

Wew uliepost hiyo ni commercial kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom