" I say it " ni ngoma niliyoitengeneza kwa msaada wa google Gemini kwa upande wa beat. But mashairi na ,lyrics its all about me made it.
Mwanzo wa utengenezaji wa beat nilianza na hizi code.
"Uh...
IBILISI RUDISHA FAHAMU ZETU(MIMI NA MKE WANGU).
BY ISSAI SINGANO .
(Singano jr).
DIBAJI
Saa saba mchana Frida alionekana akiingiza gari ndani ya hospitali na taasisi ya kitafiti ya Neuroscience...
Usiku wa Mbuguni
Usiku wa Mbuguni haukuwa na sauti nyingi.
Ni upepo tu uliokuwa ukipita juu ya mashimo ya migodi, ukibeba harufu ya vumbi na jasho la wachimbaji.
Amani alikuwa anakimbia.
Miguu...
I don't know what happened to me but this kind of music right now is kicking into my head!, maybe my age now is getting older!..😂
I now really love R&B for sure!, This kind of music is stimulating...
Kompa music vs Amapiano.
Nadhani ni muda muafaka sasa wasanii wa Muziki nchini Tanzania wakatibadilishia ladha kdigo toka Bongo piano kuelekea Kompa.
Au ikishindikana kabisa wafanye mchanganyiko...
FROM. Kama wewe ni mpenzi wa Mystery, Sci-Fi, na Horror (kama uliipenda 'LOST'), basi hapa ndipo mahali pako.
UTANGULIZI: Inahusu nini?
FROM inatupa picha ya mji mmoja wa ajabu katikati mwa...
Riwaya.
Mtunzi: Roisa.
Number: 0694840213.
Sehemu ya 2.
Nikakumbuka wimbo wa lady jaydee na professor Jay ulitamba kipindi hicho unaitwa Bongo dar es Salaam. Ama kweli nilijionea ndani ya...
Katika muziki wa kisasa, mafanikio ya wimbo hayategemei tu ubora wa sauti au video, bali pia mchanganyiko wa ubunifu, mitandao ya kijamii na wakati sahihi (timing). Hii inafanya baadhi ya nyimbo...
Habari wana JF!!
Kuna nyimbo naitafuta bila mafanikio. Inaimbwa "nilimwomba Mungu sana (sana sanaa), anipatie tunae pendana (namimi ndo maana). Siku zote mi nawe habibi siku zotee, tupo sote mi na...
Wakat napiga Kaz kwenye mel km oiler ikatokea nafas eng class3 alifanya maamuz ya kurud hom akafanye mambo mengine kwa hiyo nafas yake ilipaswa kuzibwa na ili niipate ile nafas nalazimika kuingia...
Heshima kwenu wanajukwaa.
Kama tunavyojua kwamba huu ni msimu wa sikukuu za xmass and new year na kuanzia leo just tunahesabu siku kuelekea siku ya jingles, so uzi huu ni maalum kwa ajili ya...
Kila mmoja wetu ana ile series yake (TV Show) ambayo ilimfanya aingie kwenye "addiction" kuifuatilia. Ile ambayo unajikuta unafuta hata ratiba zako za muhimu ili tu upate muda wa kutazama episode...
Habarini!
Kama tunavyo fahamu kuwa JF ni sehemu ambayo mamillion ya watu wanapita hapa! Ningeomba huu uzi uwe maalumu kwa ajiri ya kuwasupport wasanii wanao chipukia! Katika Muziki! Najua tupo...
1. Sarkodie from
Ghana.
2. Nyashisnki from
kenya.
3. Khaligraph jones
from Kenya.
Hapo ni wa kwanza mpaka wa mwisho.
Nimesikiliza marapper wengi, ila ni hao tu ninao...
Staa wa muziki wa Pop duniani, Dua Lipa, ameishtaki kampuni ya Samsung akidai fidia ya dola milioni 15 (takriban shilingi bilioni 40 za Kitanzania), akituhumu kampuni hiyo kutumia picha yake...
Napenda sana movies na animated series. Hizi ndio my number 1 entertainment lakini sijawahi kutumia legal app yoyote
Nilidhani subscription za Netflix ni expensive mpaka jana wakati nafuatilia...
Hakuna mwanamuziki wa kawaida tu ambaye anaishi Jijini Kinshasa au ataweza kuishi Kinshasa.
Kwa msiojua Mji wa Kinshasa ni wa gharama za juu mno na ndiyo maana ni Watu matajiri tu (Mapedeshee) na...