Wakuu!
Baada ya msanii chipukizi wa Singeli, Dogo Patten, kususia mahojiano kwenye kipindi cha Gen Talk cha Mjini FM, gumzo limeibuka mitandaoni likihusisha watangazaji na mashabiki. Tukio hilo...
MY LAST RIDE; SAFARI YANGU YA MWISHO.
Mtunzi; Robert Heriel
+255693322300
Episode 01.
Sikumaanisha kuua! Wala sikuwahi kuwaza kuwa kuna siku nitakuja kuua mtu. Kwa...
Zilitukuza enzi hizo mimi na jamaa zangu tulikuwa tuna ratiba nzima. Ilikuwa kila siku za juma3 had ijumaa kuanzia saa 15:00H - 18:00H channel 10, tv Mozambique, TIM, ITV na Agape TV walitupa...
Nimetazama hii movie 🎥 🍿, dah najuta mzee kupoteza muda wangu.
Kwanza nilipoona tu director ameshirikisha wahindi nikaweka doubt ila nikajikaza kwasababu najua star wa movie ni mzee mzima Liam...
Diamond Platnumz, msanii namba moja wa muziki Afrika Mashariki na mwanzilishi wa lebo ya WCB Wasafi, amethibitisha mara nyingi kuwa ana "jicho la kipekee" linapokuja kwenye kugundua na kukuza...
Salamu wakuu leo nimeweka chaneli ya boing na cartoon network,
nimekumbuka mbali sana show za: ben 10, chowder, adventure time, code lyoko na superman(zilikuwa Itv), amazing world of gumball...
MSANII DUDU BAYA.
Msanii Godfrey Tumaini maarufu kwa jina la Dudu baya, amefunguka juu ya wimbo ambao ulimpa umaarufu " Mwanangu Huna nidhamu"
Msanii Godfrey Tumaini maarufu kwa jina la Dudu...
Ukitoa Hollywood, Japan ndiyo wanafuata kwa kutoa movies nzuri na za akili, iwe ni action, drama au animation. Na upande wa animations wanaweza kuwa wanaizidi hollywood. Na ubora wao upo toka...
Wana jamvi leo nimeona japo turevew miaka hii ya nyuma vipindi vya television enzi zile 1994 kuibukia miaka ya 2000.
Binafsi nakumbuka mbali sana hasa vipindi vya television ITV mfano Egoli place...
Hizi nioja ya animation kali nilizowahi kuangalia
1.nezha
2.nezha reborn
3.Raya and the last dragon
4.Coco
5.Luca
6.The white snake zote mbili
7.How to train your dragon ZOTE
8.Spy in disguise...
Wakuu, Najua wengine mpo kanisani sasahv au ndio mnajiandaa kwenda.
Licha ya nyuzi nyingi sana hapa jukwaani naomba kujua kwa uchache tu.
Director wa hii movie anataka kuthibitisha nini kwa...
Ukiachana na era ya kina KBC, Sugu before 1998 lakini era zingine za muziki wa Bongo nimefanikiwa kuziskiliza na kuishi nyakati hizo vizuri saana.
Kama kuna msanii aliyeweza kuishape rap ya Bongo...
...
MAQUIS du ZAIRE ni bendi ambayo iliwatesa Watanzania kwa kuwaporomoshea burudani za muziki wa dansi maridhawa katika kumbi mbalimbali hapa nchini Kwa wale waliokuwa vijana kati ya...
Mimi sio mpenzi wa tamthilia ila hii ya Dunia ni kiboko naomba kuwafahamu wale wahusika Kwa undani. Maisha yao kazi zao wanapotoka makabila yao nk.
1. Manyanya
2. Mke wa manyanya
3. Mlevi mme wa...
Hizi hapa nafahamu zitakuwepo, tuongezee zingine;
1. Ndaya .............. M'pongo Love
2. Dear Mama ............. 2pac
3. Bana ba Cameroon ............ Sam Mangwana
4. I miss you ............ DMX...
UJASUSI, UPELELEZI NA MAPIGANO
1. ULIMWENGU WA WATU WABAYA.....4000
2. I WANT TO DIE JUDGE....4000
3. GEREZA LA HAZWA....5000
4. INNOCENT KILLER (THE REVENGE)/ MUUAJI ASIYE NA HATIA...
Wazee sujuwi ni mimi tu au pia kuna wengine wanaweza kuona hili binafsi nimemsikiliza huyu jamaa nimeona ana kitu na cha tofauti na hawa wasanii wengine tuliowazoea na uimbaji wao.
Hebu jaribu...