GT
Naomba mnijuze huu wimbo una maana gani?
Unaitwa 'Velvet Horizons'
Ni wimbo mzuri sana umetoka mwaka huu 2025 naupenda ila nimeshindwa kujua maana yake,kila nikisoma maana ya maneno hayo...
Kuna Jumong na A man called god zote ni korean, mtaalamu akiwa Song il gook, a.k.a Jumong
Jamani tuacheni maskhara, kwa upande wangu, movie/series zitakuja na kuondoka, hizi mbili ni mwisho...
Kool & the Gang : "Let's Go Dancin' (Ooh La La La)"
Mimi niusikia kwa Mara ya kwanza Morogoro mwaka 1982/83 kwenye Bilibi Disco ambayo nadhani ilikuwa pia inamilikwa na Joseph Kusaga. Ulikuwa...
Kwenye huu ulimwengu wa mabavu kuna mambo mengi yanatokea kiasi kwamba wanadamu tunakimbilia kulaumu bila kujua sababu ya mambo hayo kutokea.
Kwenye IDAIWE MAITI YANGU uliisoma historia na...
SIMULIZI-JAYLAN
MTUNZI-JAPHET LUFUNGULO
SEHEMU-01
Nø-+255680113178
MWANZO
Ni majira ya jioni angani ambapo katika ndege moja ya kijeshi ndani yake walionekana wanajeshi wakiwa katika purukushani...
Yeah habari wana JF
Hii ni special thread kwa Hawa jamaa bongohoodz pichaz
Kama ni mpenzi wa movie zenye miondoko ya crimes basi Hawa jamaa ni best kwa hapa bongo maan movie nyingi hapa ni...
Binafsi nadhani burudani mwisho wa siku ipo kuburudisha na sio kuhakikisha mburudishaji mmoja anapata kiasi gani au kukosa kutokana na ujio wa hiki au kile; Ofcourse pale AI inapojifanya mtu...
Januari 10, 2014, historia ya televisheni nchini Tanzania ilibadilika kwa kuzinduliwa kwa kituo kipya cha TV1, kupitia StarTimes Channel nambari 103. Ikiwa sehemu ya kituo cha Viasat 1 kutoka...
Dr King (M.L.King Jr) alishawahi nukuliwa akisema “ Not everyone can be FAMOUS , but everyone can be GREAT. Japo hotuba yake ilikuwa yenye mlengo wa kisiasa, lakini kupitia nukuu hii alikuwa...
Tetesi mpya zimeibuka katika ndoa ya mastaa wa muziki, Offset na Cardi B, baada ya Offset kudai kuwa Cardi B amemsaliti na hata kupata ujauzito wa mwanaume mwingine. Tukio hili limezua gumzo kubwa...
Wanasema tembea uone
Ilikuwa mwaka 2017, nikifika visiwani Ukerewe nikiwa na project ya UNDP, aisee nilijifunza na kuona maajabu ambayo sikuyatarajia
Ukerewe ni Moja ya wilaya za
mkoa wa Mwanza...
Kimberly Denise Jones (born July 11, 1974), better known by her stage name Lil' Kim, is an American rapper and reality television personality. Born and raised in Brooklyn, New York City, she lived...
Nimepigwa nimeenda mpaka lock up wanazengo bint yangu bado mdogo nmetoka mwanza nmemfuta mosh nmettoroka kazin mwanamke kanikana Yuko fuel station station lawate
Kwa wapenzi wa muziki na wenye masikio thabiti kwenye muziki (vyombo) kumekuwa na ubishi mrefu juu ya nani zaidi ya wapiga solo guitar kati Flamme Kapaya na Kimbangu Solo.
Je, wewe ambae...
TRAILER YA THE CHURCH OF THE UNBORN!
Ndani ya jumba la Cinema lililoko Mlimani City. Ukumbi umejaa. Watu wanashauku ya uzinduzi wa filamu mpya ya The Church of the Unborn" ambayo inatokana na...