Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Mlete mzungu bongo moja la ngoma. πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
2 Reactions
1 Replies
792 Views
Habari. Kuna series ambazo ni ngumu kuzielewa unaweza kumaliza hadi season moja hata zaidi ila uelewi kabisa nini kinachozungumzwa/ lengo la season/movie husika. Hivyo basi kupitia huu uzi...
4 Reactions
69 Replies
8K Views
Nimejitahidi kutafuta sio Google, you tube na baadhi ya sites ambazo ziliunganishwa na links za kuupaata huo wimbo kama humu jf niliona links, cha ajabu nikiingiaa nakuta blank page, naitafuta...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Kwa wale wapenzi WA series, kuna series mpya imetoka Kwa sasa ina episodes 2 Tu Ila inaonekana kuwa Moto Sana inaitwa THE ENDGAME. Bado hatujajua hasa kiini cha matukio haya lakini hii ni sehemu...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni nyimbo gani ya kibongo ambayo kwa sasa tunaweza kuishindanisha na Buga ya kizz Daniel katika kipindi hiki ambacho Buga imetoka maana naona wabongo wengi wanalalamika kuwa hii ngoma inapendelewa...
0 Reactions
5 Replies
601 Views
Waigizaji nao wameunga mkono zoezi zima la Sensa ya watu na Makazi
0 Reactions
1 Replies
360 Views
Na Bishop Hiluka (Mwandishi wa stori za kusisimua zilizowahi kuchapishwa hapa JF za Kizungumkuti!; Laiti Ningejua!; Hekaheka!; Hadi Lini! na nyinginezo) 0685 666964 SAA 1:35 asubuhi, Samuel...
13 Reactions
1K Replies
209K Views
Maoni na kura yako iwe kwa vigezo hivi: Ni bila kuangalia _AINA YA MUZIKI _UJUMBE _MSANII ALIYEIMBA _HADHIRA ILIYOKUSUDIWA _UKUBWA WA MWANAMUZIKI _MUDA, MWAKA, IDADI YA _MATAMASHA, UKUBWA WA...
1 Reactions
71 Replies
7K Views
Simulizi : MIKONONI MWA NUNDA Mwandishi : BEN R. MTOBWA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 UKEKE Maulana alikuwa mzee ambaye siku zote alipingana na uzee, mzee ambaye hakukubali...
8 Reactions
116 Replies
25K Views
JICHO LA SANAAA MATAA HEIST Based on true event "Wakati adui anahitaji nafasi moja katika kutekeleza mipango yake ya kidhalimu, vyombo vya usalama na ulinzi vinahitaji kila nafasi, kila fursa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Jifunze sanaa ya kuishi kutoka Sri Sri Ravi Shankar katika tukio hili la siku moja BILA MALIPO. Agosti 25, katika Julius Nyerere International Convention Centre. Usikose fursa hii nzuri!
1 Reactions
2 Replies
700 Views
MPENZI: Mpenzi laazizi nyonga mkalia penzi, Nakupenda kama njaa ipendavyo shibe, Nimeamua hili huba kulitilia tui la nazi, Nitaliundia na kamati ya ulinzi wasiliibe. Unajua nini babe, sio tu...
0 Reactions
7 Replies
949 Views
Hii ndio Orodha ya nyimbo za africa zilizoingia Top 50. 1. Love Nwantiti (Ah Ah Ah)- CKay. 2. Peru-Fireboy DML & Ed Sheeran. 3. Essence-Wizkid Featuring Justin Bieber & Tems. 4. Attention-Omah Lay...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
wimbo mzuri sana sana kutoka kwa huyu fundi wa tabora kiko kids
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kila mwandishi wa miswada {script} hutumia njia aipendayo kuitumia katika kuandika miswada {script}si kwa nchi yetu ya Tanzania pekee hata nchi za wenzetu, kwa kukuaminisha nimeamua kukuwekea...
10 Reactions
2 Replies
6K Views
Nenda youtube, Andika 'Sanura audio' na wimbo utauona chini ya Makondeko Group Musika tayari kwa kuenjoy. Mimi nimeshindwa kuupandisha humu. Aisee ni bonge la wimbo, jamaa alikuwa anajua sana...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
SABABU YAKO: Sikulaumu wala siwezi kuja kulaumu, Ila ni sababu yako mimi kuwa hivi, Ni aghalabu kuona tabasam langu yani nimekuwa chakaramu, Unapokuwa kibogoyo ni nadra kutafunia fizi, Ila...
1 Reactions
0 Replies
554 Views
Wadau heshima kwenu, naomba kujua jina la huu wimbo Unaitwaje. Nimejaribu kuimba melody yake unavyoenda natumai ukiuskia kama unaujua utaufahamu tu. Naomba mnisaidie jina lake tafadhali. Thanks...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Hawa commentators wanaokaa mmoja mmoja wamekuwa na favoritism na kuleta mahaba, ni vema sasa mkawa mnaweka huku mpenja pale kabombe nk nk kama tuko EPL vile wenzetu commentaries zao haziboi...nyi...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Habari wana jamvi, kama umepata kusikiliza wimbo wa marioo na country boy utakua unajua jinsi gani wameua kwenye hilo goma. Wimbo ni mkali sana na wametembea kwenye beat vizuri
0 Reactions
1 Replies
843 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…