Billboard Afrobeat chart top 50

GoPPiii.

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
1,787
3,050
Hii ndio Orodha ya nyimbo za africa zilizoingia Top 50.
1. Love Nwantiti (Ah Ah Ah)- CKay.
2. Peru-Fireboy DML & Ed Sheeran.
3. Essence-Wizkid Featuring Justin Bieber & Tems.
4. Attention-Omah Lay & Justin Bieber.
5. Free Mind-Tems.
6. Finesse-Pheelz x Buju.
7. Ameno Amapiano (You Wanna Bamba)-Goya Menor & Nektunez.
8. Found-Tems Featuring Brent Faiyaz.
9. Calm Down-Rema.
10. Emiliana-CKay.
11. Baddest Boy-Skiibii & DaVido.
12. Ye-Burna Boy.
13. Omo Ope-Asake & Olamide.
14. Sip [Alcohol]-Joeboy.
15. No Wahala-1da Banton.
16. Damages-Tems.
17. Monalisa-Lojay X Sarz.
18. Replay-Tems.
19. Rocking-Zinoleesky.
20. Crazy Tings-Tems.
21. Fall-DaVido.
22. Down Flat-Kelvyn Boy.
23. B. D'or-Burna Boy & Wizkid.
24. On The Low-Burna Boy.
25. Ginger-WizKid Ft Burna Boy.
26. Understand-Omah Lay.
27. Fyn-Rema & AJ Tracey.
28. High-Adekunle Gold X Davido.
29. Soundgasm-Rema.
30. Love Don't Cost A Dime-Magixx.
31. Cold Outside-Timaya.
32. Infinity-Olamide.
33. Italy-Buju.
34. Always-DARKOO Ft Black Sherif.
35. IDG-Asa Ft Wizkid.
36. Don't Call Me-Lil Kesh Ft Zinoleesky.
37. Joro-Wizkid.
38. Pour Me Water-Kizz Daniel.
39. Dior-Ruger.
40. Sempe-L.A.X.
41. Borrowed Love-Metro Boomin Ft Swae Lee & WizKid.
42. Somebody's Son-Tiwa Savage Ft Brandy.
43. The Key-Tems.
44. Eh God-Kizz Daniel.
45. Gbona-Burna Boy.
46. Dumebi-Rema.
47. Want You-Oxlade.
48. Ice T-Tems.
49. Baby Riddim-Fave.
50. Odg-Eltee Skhillz.

Orodha imetawaikiwa na wasanii toka pande za Nigeria.
Maswali ya kujiukiza
1. Muziki wetu bado!?
2. Wasanii wetu wale icons wanafeli wapi ?
3. Tufanye nini!?

Maana Tanzania tumepigwa na kitu kizito.
 
mbn platinum hayupo na ni no tatu kwa ubora Afrika
 
Hatuhitaji kuwa kwenye playlist za Wamarekani kama kiashiria cha kukua kwa Mziki wetu..kukua kwa Mziki ni kuongezeka kwa wasikilizaji haimanishi kuwa kwenye playlist hiyo ndo ukubwa wa Mziki...Hata Wa South walioingia kwenye list ni wachache inamaana muziki wao bado hizo ni Figisu tu
 
Una maanisha kutokuwemo kwenye chart ni figisu!?
Tutumie kigezo/vigezo vipi kujua mziki wetu kimataifa haswa Europe na America unasikilizwa!?
 
Wasanii wetu hawa tunaowaita wakubwa wanafanya vizuri ndani ya East Africa tu na siyo dunian kama wanavyo tuongopea.
 
Hii ndio Orodha ya nyimbo za africa zilizoingia Top 50.
1. Love Nwantiti (Ah Ah Ah)- CKay.
2. Peru-Fireboy DML & Ed Sheeran.
3. Essence-Wizkid Featuring Justin Bieber & Tems.
4. Attention-Omah Lay & Justin Bieber.
5. Free Mind-Tems.
6. Finesse-Pheelz x Buju.
7. Ameno Amapiano (You Wanna Bamba)-Goya Menor & Nektunez.
8. Found-Tems Featuring Brent Faiyaz.
9. Calm Down-Rema.
10. Emiliana-CKay.
11. Baddest Boy-Skiibii & DaVido.
12. Ye-Burna Boy.
13. Omo Ope-Asake & Olamide.
14. Sip [Alcohol]-Joeboy.
15. No Wahala-1da Banton.
16. Damages-Tems.
17. Monalisa-Lojay X Sarz.
18. Replay-Tems.
19. Rocking-Zinoleesky.
20. Crazy Tings-Tems.
21. Fall-DaVido.
22. Down Flat-Kelvyn Boy.
23. B. D'or-Burna Boy & Wizkid.
24. On The Low-Burna Boy.
25. Ginger-WizKid Ft Burna Boy.
26. Understand-Omah Lay.
27. Fyn-Rema & AJ Tracey.
28. High-Adekunle Gold X Davido.
29. Soundgasm-Rema.
30. Love Don't Cost A Dime-Magixx.
31. Cold Outside-Timaya.
32. Infinity-Olamide.
33. Italy-Buju.
34. Always-DARKOO Ft Black Sherif.
35. IDG-Asa Ft Wizkid.
36. Don't Call Me-Lil Kesh Ft Zinoleesky.
37. Joro-Wizkid.
38. Pour Me Water-Kizz Daniel.
39. Dior-Ruger.
40. Sempe-L.A.X.
41. Borrowed Love-Metro Boomin Ft Swae Lee & WizKid.
42. Somebody's Son-Tiwa Savage Ft Brandy.
43. The Key-Tems.
44. Eh God-Kizz Daniel.
45. Gbona-Burna Boy.
46. Dumebi-Rema.
47. Want You-Oxlade.
48. Ice T-Tems.
49. Baby Riddim-Fave.
50. Odg-Eltee Skhillz.

Orodha imetawaikiwa na wasanii toka pande za Nigeria.
Maswali ya kujiukiza
1. Muziki wetu bado!?
2. Wasanii wetu wale icons wanafeli wapi ?
3. Tufanye nini!?

Maana Tanzania tumepigwa na kitu kizito.
There are nearly 54 African states, iweje ushangae Tanzania kutoku feature kwenye hiyo list wakati kuna 97% ya nchi za Afrika zingine zikiwa more successful than Tanzania ambazo hazina wasanii kwenye hiyo list
 
TUKIENDEKEZA MAJUNGU NA FITINA MZIKI WETU UTAISHIA HAPA HAPA.
TATIZO WANASHINDANA NA MTU WA NYUMBANI BADALA YA KUSHINDANA NA HAWA WANAIJA
 
Kuna wasanii wengi wakubwa toka Ghana, South Africa na Kenya hawapo kwenye hiyo list. Ni suala la upendeleo wamefanya nahisi sababu ni wanaijeria wanaoandaa hiyo list.
 
Lakini pia ieleweke kwamba hii ni top 50 ya afrobeats zinazotrend USA, maybe based on numbers wakapata hiyo list.

Hivyo kwa sababu hii pia naweza nikaamini kuwa wapo sawa. Not otherwise.
 
Afrobeat ni mziki wa West Africa. Ningeshangaa kuona watu wasio wawest africa kuwa kwenye hiyo list.

Siku kukiwa na chart ya bongo fleva nitashangaa kuona wawest africa humo.

Endeleeni kuimba amapiano au kama wanaija mkidhani mnaenda global kumbe mnaonekana kituko tu. Huwezi kushindana na mtu kwenye uwanja wake wa nyumbani ukamshinda it's that simple.
 
Ufatilii mzik ww!!kuna chart za uingereza za afrobeat toka zimeanza kutoka hzo chart cjawah ona ngoma ya east africa,tunadanganyana tu mzik wetu bado sana

Wewe umefanya nini kuendeleza mziki wetu zaidi ya kulalamika?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom