Azam ni wakati sasa mkaweka commentators wawili kwenye game kubwa hasa Derby ya kariakoo

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,532
Hawa commentators wanaokaa mmoja mmoja wamekuwa na favoritism na kuleta mahaba, ni vema sasa mkawa mnaweka huku mpenja pale kabombe nk nk kama tuko EPL vile wenzetu commentaries zao haziboi...nyi ndugu zangu commentator ni mmoja na anachosha na ushabiki wake.

Wachambuzi waingie wakati wa break 45' hatuhitaji wachambuzi wakati game inaendelea pale tunataka commentators tu...jitathminini!
 
Back
Top Bottom