Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Nazungumzia magoma yaliyolitingisha bibaya sana bara la Africa kwa mwaka 2022, dude sio lazima liwe limeshuka 2022 lakini kwenye iwe harusi, Kipaimara, birthday hata club hukosi kulisikia...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
[emoji682][emoji682][emoji682][emoji682][emoji682][emoji682][emoji682] Sehemu Ya Kwanza (1) Ilikuwa ni siku ya jumamosi majira ya saa kumi kamili za jioni, hali ya hewa ilikuwa ni ya mvua...
0 Reactions
13 Replies
10K Views
Nipo mahali hapa, wimbo wa Jay Melody Nakupenda unapigwa. Hii imenisukuma niandike chochote, hakika kutoka ni suala la muda tu. Huyu dogo wakati anaanza nilikuwa namuona anapoteza muda tu, lakini...
2 Reactions
11 Replies
891 Views
Kwa wale waliowahi kutazama series ya Jumong hii ni sound track number 7, ni moja ya soundtrack kali wabongo wameicopy na kuitumia kwenye movie nyingi sana Kwa waliotazama series ya Spartacus...
7 Reactions
74 Replies
15K Views
Naomba kujua kiwanja kizuri kwa Live Band muda huu. Nipo Dar es Salaam Ubungo
0 Reactions
3 Replies
999 Views
1 : kontawa - champion 2: Dulla makabila - Pita huku 3: Mbosso - Shetani
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Movie ni wheels on meals. Jack Chan vs Benny Urquirdez
7 Reactions
43 Replies
4K Views
HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA. Chapter 1 Kama miezi miwili hivi iliyopita nilikuwa zangu katika mihangaiko yangu nje ya jiji la mbeya. Usiku mmoja majira ya saa nne na nusu nikiwa chumba cha...
3 Reactions
20 Replies
14K Views
Binafsi ni mpenzi wa muziki especially Hip Hop that doesn't mean I don't listen to other kind of music. Muziki wowote mzuri mi nasikiliza nyuma nilikuwa napata shida kusikiliza muziki wa taarabu...
5 Reactions
101 Replies
9K Views
Hizi hapa ndo tano bora za mziki wa taarab 1.Siwaguni siwakohoi=Fatma mcharuko ndani ya YAH TMK MODERN TAARAB 2.Kibaya kina mwenyewe= Aisha vuvuzela ndani ya YAH TEMEKE MODERN TAARAB 3.Nataka...
0 Reactions
8 Replies
19K Views
Wanasema waswahili kizuri ni kizuri tu Hii ndo nyimbo bora kabisa kaimba bi mwanahawa ally Kwa sasa imekua ni ngumu mno kupata nyimbo zenye flavour adhimu ya taarab hususan kileo ambapo...
4 Reactions
28 Replies
11K Views
Habari Sitaki kukuchosha msomaji now days hakuna sehemu unaweza enda ukapata taarabu nzuri ukasikiliza mpka mawazo yakapotea enzi zile ukiwa na stress za mapenzi unasikia wimbo njiwa peleka...
2 Reactions
3 Replies
887 Views
Habari! Mwaka jana nilizungumza kitu kuhusu hawa comedians jinsi wanavyotisha. Wachekeshaji wetu waache kupoteza muda kuropoka. Mimi wachekeshaji wetu wanabiboa, kazi yao ni kuropoka majukwaani...
2 Reactions
5 Replies
590 Views
Hip hop ni aina ya muziki unaoelezea aina ya usanii na utamaduni uliyotokana na jamii ya Wamarekani Weusi na Walatino kunako miaka ya 1970 mjini New York City, hasa katika kitongoji cha Bronx na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nasibu Abdul Juma Issaack (maarufu kwa jina la kisanii kama Diamond Platnumz;Alizaliwa Dar es Salaam, Tanzania, 2 Oktoba 1989) ni mwimbaji wa nyimbo za Bongo Fleva na dansa kutoka nchini Tanzania...
3 Reactions
14 Replies
9K Views
  • Poll Poll
ROUND 1: HIT 'EM UP. "Hit 'Em Up" ni wimbo wa kunangana uliotungwa na Tupac Shakur, akishirikiana na kundi lake la rap la Outlawz. Wimbo ni wa upande wa pili wa single ya mwaka wa 1996, "How Do U...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Binafsi niseme tu hawa waheshimiwa Tx-Moshi, Mzee Gurumo, Mbwembwe, Mzee Mabera, Mahina, Momba na wengine ambao sikuwataja na bendi zao walifanya kazi kubwa kwani mziki wao bado unaishi kwa...
1 Reactions
1 Replies
510 Views
SSERIES NZURI ZA 2022 - 1. House of the Dragon Season 1 2. Better Call Saul Season 6 3. Andor Season 1 4. The Boys Season 3 5. Ozark Season 4 6. Top Boy Season 4 7. Obi-Wan Kenobi Season 1 8. Tom...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…