Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 16,335
- 37,774
Nipo mahali hapa, wimbo wa Jay Melody Nakupenda unapigwa.
Hii imenisukuma niandike chochote, hakika kutoka ni suala la muda tu. Huyu dogo wakati anaanza nilikuwa namuona anapoteza muda tu, lakini sasa wimbo wake umekuwa wimbo wa taifa.
Kama mwaka jana Marioo alivyoupiga mwingi na Bia Tamu, huu mwaka nauona ni wa Jay Melody.
Hakika nchi hii ina vipaji vingi ila havipati nafasi.