Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kuna mipango kabambe inaandaliwa ya kufanya beach party kubwa sana ya kushangilia ushindi dhidi ya Corona Jumapili na kuna tetesi Diamond platnumz akaongoza shamra shamra hizo, hii imekaaje?
5 Reactions
47 Replies
7K Views
HEKAHEKA! Na Bishop Hiluka 0685666964 Dondoo: Wanamwita “Gaidi Mstaarabu” kwa kuwa ni mpole, mcheshi na mstaarabu sana! Mafunzo ya kijajusi aliyoyapata katika nchi za Israel na Libya yamemfanya...
21 Reactions
188 Replies
40K Views
Habari zenu wakuu! Naomba nisiwachoshe wanaJF.... Shida yangu nilikua ninaomba msaada wa kupata nyimbo kali za kuparty (kubang) ziwe za Bongo Flavour,Amapiano,mamtoni,afro-beats n.k Yaani ziwe...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mawazo yamenijia leo aliokuwa mzee wangu akisema dunia ni msongamano wa watu wenye akili tofauti. Ukitaka kuishi vema fikiri kabla ya kujibu jifunze kwa walimwengu walimwengu wajifunze kwako...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bwana Haji Janabi (kushoto) akiongea na wajumbe wa Kamati ya Maandalizi kutoka Tanzania na Afrika Kusini katika kikao awali kufikia kwa maandalizi ya Tamasha la Msimu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wimbo wa Shakira kuhusu mpenzi wake wa zamani Gerard Pique kwa kumdanganya umevunja rekodi ya kutazamwa zaidi kupitia YouTube. Video ya Out of Your League imetazamwa zaidi ya mara milioni 63...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajamvi, "Mke na mume wakipigana, wewe shika jembe ukalime": Baada ya kimgogoro kidogo, Sony na marvel wametangaza biashara kati yao inaendelea. Hiyo inamaanisha Spider Man anabaki Marvel...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Gwala kwa wana Jf wote, naamini bado tunaendelea kupambana na maisha. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Nyimbo nyingi kutoka Afrika Magharibi zinaandaliwa kwa ubora mkubwa...
3 Reactions
34 Replies
6K Views
Naifikiria miaka mia moja ijayo, au labda mia mbili au mia tatu!! Ni nini itakuwa hatma ya dunia? mbari ya binadamu (human race) itaendelea kutawala? Mpaka kufikia siku ya leo, Tarehe 13 March...
46 Reactions
726 Replies
157K Views
chunga moyo ,,moyo unataka vingi tena utosheki huu moyo kwa tamaa ya moyo kunganga na shilingi....... Tena utosheki huu moyo ikiibidi kupambana vyovyote ili tupate kurumbanarumbana SI vyema...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Unaitwa "Tizita" na ameimba mwanamama anaitwa Aster Aweke. Naupenda sana kwenye melody yake na unanipaisha sana. Sasa usijekuta anazungumzia kilimo au baa la njaa huko kwao nami naweka fantasy...
1 Reactions
10 Replies
610 Views
Wadau habari.Kuna ngoma YA zamani sana aliimba Bugz Malone na D Rob.Bugz alikuwa anachana kingereza D Rob alipita na chorus YA kiswahili.Ngoma hii naitafuta sana,mwenye nayo afanye kushare
2 Reactions
1 Replies
455 Views
Silimulizi : Msako Wa Mwanaharamu Sehemu Ya Kwanza (1) Katika Pori fulani huko BAGAMOYO PORI LILIONEKANA TUPU, hakukuwa na kipya zaidi ya miti ileile ya kila siku, kila mmoja ukiwa mahala pake...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Katika Maisha yangu nimeona bongo movie nzuri lakini sijawahi kuona filamu nzuri ya kitanzania zaidi ya furaha iko wapi by 20%.
2 Reactions
7 Replies
6K Views
Kutoka Dstv I would rank the series kama hivi; 1. Jua kali [emoji1241] 2. Selina [emoji1139] 3. Sanura [emoji1139] 4. Kina [emoji1139] 5. Huba [emoji1241] Tanzania tuongeze juhudi, Wakenya...
0 Reactions
7 Replies
994 Views
1. I LOVE YOU – CATHOLIC MT. THERESIA Hii nyimbo kama wahusika walifanya mazoezi ndipo wakaenda shoot video basi walifanya mazoezi ipasavyo.Nimependa jinsi wanavyocheza mwanzo mpaka...
21 Reactions
80 Replies
14K Views
Tafadhalini sana wakongwe kuna wimbo uliimbwa sikumbuki kama msondo ngoma au band gani ila KIITIKIO jamaa kwa sauti kali yenye kipaji cha hali ya juu aliimba "Hili ndilo fundisho kwa wengine...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huh Nina washkaji home dili ikija wanapindisha sera Inawaumiza napopiga hela Wote wanangu bado sijawahi wapinga jambo Hata wakificha Cargo Bado nawapa hi ‘cause we best friends Wapo wavivu wapatwe...
5 Reactions
1 Replies
773 Views
Kwa wasiofuatilia wanaweza kudhani Msuguano baina ya Nas na Jay Z unaendelea lakini nikuambie tu ya kuwa mtafaruk wao ulishakwisha zamani sana. Awali familia zao zilihusishwa kwenye michano na...
8 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…