Kipenseli
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 878
- 1,150
Habari zenu wakuu! Naomba nisiwachoshe wanaJF....
Shida yangu nilikua ninaomba msaada wa kupata nyimbo kali za kuparty (kubang) ziwe za Bongo Flavour,Amapiano,mamtoni,afro-beats n.k
Yaani ziwe ngoma kali za kuchezeka, unaweza kulist hata ngoma moja unayoifahamu na utakua umenisaidia
Napitia machapisho yenu ili niweze kuzidownload,Nawasilisha[emoji120]