Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,772
- 43,353
chunga moyo ,,moyo unataka vingi tena utosheki huu moyo kwa tamaa ya moyo kunganga na shilingi.......
Tena utosheki huu moyo ikiibidi kupambana vyovyote ili tupate kurumbanarumbana SI vyema tubadilike oouh moyo......
penzi Ni zaidi ya kisu kikali usinnichomee kumoyo penzi Ni zaidi ya kisu kikali usinnichomee kumoyo,,kumoyo
hata Kama Sina gari tutapanda baiskeli kwani kupata Ni zari ukikosa usijali......
It's lucky of time or worse of time.....Ni miaka kadhaa Sasa imepita ulikuaga unani imbia huu ubeti.....
Wakati mwingine tunaimba wote....Kuna muda nakukumbukaga....Muda NDIO ulitutenganisha.
NB: Ni wimbo Gani uki usikia huwaga unakusisimua na kukukumbusha Good moment & feelings ambazo ni ngumu kuzisahau?
hata Kama Sina gari tutapanda baiskeli kwani kupata Ni zari ukikosa usijali uuuje.........