This Pdf concerns the book of Proficies written by Frenchman author Nostradamus in the year of 1500's.To share his experience of what will happen in the future up to year 3200.
lala, amka kumbuka kuwa lengo kuu la mwaka ni kutafuta pesa ili wanao wasije kupitia mateso, misukosuko na majuto uliyopitia... swali ni kwamba unazipataje hizo hela? hasa kwa wale wasomi ambao...
Filamu ni ya kizungu (western).
nadhani inaweza kuwa ni horror.
plot yake ipo hivi. Ndani ya familia ya kitajiri lakini utajiri wake unaoonekana ni kwa njia ya kishirikina. Kulikuwa na kijana...
UTANGULIZI
Kifo kina wivu sana, hutuondolea wale tunaowapenda. Hutuacha na majonzi na kumbukumbu za kuumiza, lakini pia hutubakizia jeraha kubwa ambalo hata likipona basi hutuachia alama ya kovu...
NILIAHIDI NATEKELEZA.
Tunaanzia mbali kidogo kujenga msingi....
Katikati ya umri wa kuhitaji malezi bora yanayohusisha wazazi wote wawili, baba na mama yake wanafarakana kiasi cha kufikia...
Naweza Kusema Kwa Umbali Mkubwa Sana Hii Ni The Best Videogame Ambayo Imewahi Kupelekwa Live-Action Na Kuwa TV-Series Kwenye Kiwango Bora
Leo Tunaanza Na Episode Ya Kwanza Ijulikanayo Kama "When...
Hapo zamani, kulikuwa na mwanamke anayeitwa Sara. Aliishi katika kijiji kidogo ambapo kila mtu alimjua mwenzake.
Sarah alikuwa na ndoto ya kuwa mama, lakini hakuwahi kupata mtu sahihi wa...
Nimejikuta naangalia kwa bahati mbaya hiki kipindi, for sure judges ni wehu. Wanalazimisha presenters wanaokuja jaribu vipaji vya utangazaji wa magazeti lazima wapayuke kama Zembwela au Maulidi...
Me nazokubali kutoka kwenye album zake na kuzisikia kila mara.
1. UFUNUO WA UNJU BIN UNUKI
~ Natoka tanzania
~ Excuse me miss
~ Where my crown are
ALLHAMDULLAH
~ Hands down low
~ Tulia na mimi...
Wadau habari zenu
Nawakaribisha kunisapoti kwenye muziki wangu wa bongo FLEVA
Instagram napatikana kama @ricky_tz_
YouTube ni Ricky tz
Muziki mzuri ni burudani ya maisha
VYUMBA VYA WATU WALIOACHWA NA WALIOOA TENA
By: Aston Adam Mbaya in Congo 8
Ndugu, Bwana alipokuja, alinichukua hadi mlimani, na tulipaswa kwenda Kuzimu. Tulisimama juu ya mlima.
Nilimuuliza...
Habari wanajamii forums,
Nilikuwa nahitaji site ambayo naweaa kupatq album za Mr II A.K.A Sugu maana YouTube sipati nyimbo zote. Kwa yeyote mwenye album zake naomba anisaidie.
Asante.
Rapa rapcha aliye chini ya mkongwe baba la manyani P Funk aka Majani majuzi aliachia Diss track inayoitwa STORY NYINGINE akiwaponda wasanii wa hip hop kadhaa, mmoja wa wasanii aliyepondwa ni Mkali...
DIZASTA VINA KIBABU NA BINTI....
Aisee ifike mahali tuamini kumbe bado Hip-hop ipo mikono salama.. [emoji16]
kiukweli nilishaacha kabisa kusikiliza hip-hop ya vijana wa kizazi hiki coz mistari...