Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Ni level gani ilikutesa mpaka ukafikia hatua ya kutaka kuifuta hii game?
1 Reactions
78 Replies
6K Views
Nmejaribu sana kuangalia baadhi ya series za mataifa mengine nmejikuta nashindwa kabisa hasa za: 1. Spain 2. Mexico 3. Philippines 4. Turkey 5. Korea 6. China Hawa jamaa bado wana series za...
14 Reactions
59 Replies
9K Views
Angalia tamthilia za kituruki za Azam TV; tangu Sultan, Wounded Love na hata sasa Ertugrul utagundua kitu kimoja tu. Kwamba tamthilia hizi ni simulizi za historia ya nchi yao ya Uturuki...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
• Mejja - Landlord Kwenye hili song kutoka 254 hakuna chochote kinacho endana na story.. Ila kwa kuwa nimeisikia kwa dereva bajaji hapa basi imenikumbusha 2015. Experience ya kupanga kwa nyumba...
1 Reactions
5 Replies
823 Views
NAJILIPUA NI kweli ni trend- setter na alitengeneza top ten lakini kwa upande wangu, midundo mitano ninayoielewa zaidi kutoka kwake ni hii; 1. MTOTO WA KIUME - GEEZ MABOVU Dundo linaanza...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Hello,hope you are courageously going about through your daily activities.For those going through a bit of a patch,well I'm here to invite you to travel with me through extraordinary good music...
1 Reactions
1 Replies
851 Views
Habari, Weekend iliyopita nilikuwa naangalia tuzo za TMA yaani Tanzania Musics Awards na kuona vipengele tajwa hapo juu. Sasa bado sijaelewa tofauti zake. Mwenye kuelewa naomba anijuze.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Luanda, Angola Shiny I - E ndege na
0 Reactions
0 Replies
537 Views
ONYESHO DOGO KUTOKA TAMTHILYA INAYOITWA "WE ARE ONE", by Tanzanian British. It is just After THE AFRICAN KING ASKED THE MISSIONARY FROM BRITAIN,WHAT DOES SLAVE MEAN!? CHECK IT please.- MISSIONARY...
0 Reactions
1 Replies
650 Views
Habari zenu. Ndugu zangu yoyote aliye na Series ya Game of Thrones Season 1-8 HD naomba nitakulipa. Nipo Dsm
1 Reactions
20 Replies
2K Views
MAGORI MATATU YA MGENI! Ngurumo na radi vilitawala,huku wingu zito likitanda,ilikuwa ni dalili kuwa muda wowote mvua itanyesha,tena siyo ya rasharasha ilikuwa ya uhakika! Muda huo ndiyo nilikuwa...
7 Reactions
142 Replies
24K Views
NAKONDA SABABU WEWE. Kwanini nijiadhibu, kama kweli sikupendi Nikavumilia tabu, kwako imenasa gundi Kukuacha najaribu, moyo wangu siushindi Huku kukonda nakonda, Ila sababu ni wewe. Kila unacho...
1 Reactions
0 Replies
647 Views
• Ace hood-hustle Mama need house, Babe need some shoes Hustle, hustle hard!.. hustle, hustle hard! Hakaika kila niisikiapo nyimbo hii ni lines hizo ambazo naweza kuziimba kwa sauti ya juu...
2 Reactions
3 Replies
533 Views
Mm sijaelewa hii tunzo vipi nyinyi mmeielewa? Utofauti ukwap hapa?
1 Reactions
8 Replies
612 Views
Tuzo zinazotolewa muda huu kupitia UTV wapo live mgeni rasmi ni Mh, waziri balozi Pindi Chana. ==== Wasanii waliochaguliwa kuwania Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hiphop Kalajeremiah Bill_nass...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Wakuu, Nafatilia tuzo za Muziki Tz ,aisee kinachoendelea hazina Radha kabisa. Zinarushwa kupitia king'amuzi Cha Azam, sinema zetuaaa #nashauri,warejee nyuma zilivyokuwa.
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Tuzo za Muziki Tanzania zinatolewa kwa ajili ya wanamuziki mahiri na sio maarufu. Mhe. Chana amesema hayo katika Usiku...
0 Reactions
1 Replies
497 Views
Makaburi yamezika ndoto nyingi, ndio! wala sina uwezo kulikataa hilo ila tu ninalo la kuongezea kwenye hilo. Kama ilivyo kwa makaburi pia mapenzi nayo yamechangia sehemu nyingine kubwa ya kuzika...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Malkia wa Muziki wa #BongoFleva kutoka Label ya WCBWasafi, Zuhura Othman Soud, 'Zuchu' ameng’ara kwa kushinda Tuzo nyingi zaidi katika Tuzo za Muziki Tanzania TMA2022 zilizotolewa Usiku wa Aprili...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Msanii wa Muziki wa Asili Elizabeth Malinganya ndiye ambaye ameibuka kinara kwemye kinyang’anyiro cha Tuzo ya Msanii Bora wa Kike Muziki wa Asili. Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Kike wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…