Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

So far tunaelekea june kuugawa mwaka, mpaka sasa movie gani ya mwaka huu 2023 imekubamba? Mimi mpaka sasa kuna hii The covenant
9 Reactions
92 Replies
11K Views
Nimekileta hapa kwa idhini ya mwandishi John Wisse-0758321627 Download PDF
0 Reactions
13 Replies
12K Views
Kama kawaida, siku hii muda huu huwa ni muda wa Manju wa muziki, Masoud Masoud. Uzuri wa kipindi hiki ni mchangamano wa Muziki na historia. Leo ni special kwa ajili ya christmas na nyimbo zake...
1 Reactions
3 Replies
671 Views
Habari wanajamii,napenda kuuliza maswali yafuatayo; Kila Mbongo wa Extra Musica yu wapi sasa bend hyo maendeleo yake yakoje na huyu Ramatoulay ndio yule aliyeimba ule wimbo wa alaj maana majina...
0 Reactions
89 Replies
50K Views
Wakuu kwa Sie wahenga miaka ya 87-95 kuna instrumental zilipigwa siku za vipaimara nk ni za Dini sina uhakika ila za mamtoni pls mwenye Nazo
1 Reactions
4 Replies
351 Views
Wadau kati ya oval na sister's ipi ni series nzuri ya kuangalia
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwanza kabisa Wife nisamehe kama utasoma uzi huu.....lakini pia nisifie kama utasoma uzi huu..... Nilikuwa najichukulia dhaifu(according to kamwili kangu,...na vile sina ka ist...)kumbe kuna...
3 Reactions
5 Replies
576 Views
Kama hujaicheki itafute kisa chake kina husu mdada mmoja hivi ambae alikuwa akizinguana na mumewe na kupelekea kupata msongo wa mawazo sana na pia bi dada alikuwa ni mwalimu wa chekechea sasa...
2 Reactions
3 Replies
575 Views
Tafuteni Movie Moja Inaitwa FAR FROM HOME ni Wanigeria walioigiza. Yaani Movie imefanana na zile Movie za Kimarekani Kabisa asilimia 100 mpaka wamewazidi, sijui hapa kwetu tunafeli wapi...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Bongo star search (BSS) kimekosa mvuto na sijui hao wakina Master Jay na Salama jabiri wanatafuta vipaji vya namna gani?? Kama ningepewa nafasi ya kupendekeza Basi @NALIANGWENA ningependekeza...
1 Reactions
4 Replies
815 Views
Wanabodi, Niko kwenye dala dala naelekea viwanja vya Mnazi Mmoja kusafishia macho siku ya "Wanawake Duniani", dereva kaweka Radio One Stereo, kipindi cha Mtaa wa Mangoma kinachopiga nyimbo za Old...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
SEHEMU YA KWANZA.(utangulizi) Sam, saam , samsoniii, huko unakoenda hakikisha unakula huko huko, maana huwezi kunisumbua kila siku , kwanini husikii weee mtoto Sasa nikwambie tu kuwa leo hakuna...
17 Reactions
1K Replies
170K Views
Nimehudhuria sherehe ya maadhimisho ya miaka 3 ya The Legend, DJ JD John Dilinga Matlou hapa Isumba Lodge. Sherehe zilifana sana, zilitaka kuingia dosari pale JD alipotangaza pia tunasherehekea...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Katika kikao kilichofanyika huko Jijini Accra, Nchini Ghana, kilichoandaliwa na wasanii wa Afro beat kutokea Nchini gani, kimezua taharuki baada ya wasanii hao kuchachamaa na kutaka Sehemu zote za...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani mwenye jingles za RTD tafadhali sana naomba unisaidie kuzipata.
1 Reactions
92 Replies
32K Views
Kwa starehe za kiwango cha kutisha kwa sasa mahali pake ni katika visiwa Maldives vilivyopo ndani ya Bahari ya Hindi huko Asia. Haipo starehe ndani ya Ulimwengu huu utaikosa huko Maldives...
28 Reactions
535 Replies
128K Views
Nitakuwa naweka hapa nyimbo za kitanzania ambazo mashairi yake ni ya busara na ya kizalendo kuanzia mwaka 1960 hadi leo. Jisikie free kuweka za kwako pia; nitaanza na nyimbo za 1960-1970 halafu...
1 Reactions
1 Replies
360 Views
Shout out to dogo dizasta vina kwa hit nyimbo kali sana, Sanaa flow etc. Hii hapa, sikiliza ngoma kali sana. Hakika u feminist ni janga
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Hope wote mko salama,na kwa anaumwa basi maombi yangu yapo juu yake Kumekua na wimbi na kampeni kubwa inayosema KATAA NDOA, Leo katika kujituliza nikaona ngoja nimsikilize dizasta maradona...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
RIWAYA: WAKALA WA SIRI Mtunzi; Robert Heriel 0693322300 Episode 01 MAABARA YA BORETI. Jokofu maalumu kwa ajili ya kuchunguzia maiti lilikuwa limezungukwa na Madaktari bingwa wa maswala ya...
14 Reactions
311 Replies
93K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…