Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kulingana na vyanzo vya habari, inaonekana kuwa Diamond Platinumz ni mmoja wa wasanii matajiri zaidi nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Hata hivyo, ni muhimu kuelewa kuwa Millard Ayo...
33 Reactions
170 Replies
32K Views
Hali si shwari kwa diaspora wetu mwanadada machachari wa kubully watu kupitia blog na mitandao ya kijamii Mange Kimambi. Kwa wafuatiliaji wa mambo tetesi ni nyingi tokea mwaka jana kuwa Mange...
23 Reactions
2K Replies
355K Views
Unapofanya kazi kwa bidii na unapokuwa na nidhamu basi mafanikio huwa ni suala la kugusa tu. Mo Dewji amelidhihirisha hilo kwa kuongeza utajiri aliokuwa nao toka Dola Millioni 30 hadi kufikia...
3 Reactions
11 Replies
4K Views
Mambo yanatishaa sanaa, Yaani ukikaa ukafuatilia matokeo hasi waliyokumbana nayo wanadada utabaki mdomo wazi, kama malaya kaona dudu. Hapa nazungumzia mahusiano ya kimapenzi baina ya mabinti...
5 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari wakuu, Mohammed Ghulam Dewji, ameendelea kuwa top kwenye suala zima la utajiri nchini Tanzania. Licha ya bilionea huyo kuchukuliwa poa nchini ila ndio bilionea no.1 kijana barani Afrika na...
8 Reactions
39 Replies
21K Views
Huyu jamaa utajiri wake wa magumashi na kiwanda cha juice eti ndiyo tajiri namba moja. Ukija kwa Bakhressa ana meli, ngano, soda, kiwanda cha sukari chenye thamani ya bilioni 600, Azam TV na Azam...
25 Reactions
308 Replies
95K Views
Leo Tarehe 08/01/2021 Kupitia Ukarasa Rasmi Wa Instagram Wa Kondegang Umethibisha Mkataba Wa Country Wizzy Na Kondegang Umefika Tamati ..., Kuanzia Sasa Country Wizzy Atakuwa Msanii Anayetegemea...
13 Reactions
139 Replies
41K Views
Msanii wa muziki Tanzania Rayvanny kupitia ukurasa wake wa instagram ameomba kutolewa kabisa katika tuzo za Tanzania music awards (TMA) amesema kua anaheshimu sana wizara ya sanaa lakini...
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Wakuu. Siku ya Jumamosi taifa zima macho yao yalikuwa pale The Superdome kushuhudia tuzo kubwa za Tanzania music awards lakini kiukweli vitu ambavyo tuliahidiwa na kitu tulichokutana nacho ni...
4 Reactions
6 Replies
14K Views
Katika kampeni inayoendelea kwa sasa ya kutokomeza ushoga Millard Ayo hakutoa sapoti yoyote ile wala kupost habari yoyote inayoashiria kukataza ushoga lakini kwa maajabu kabisa baada ya serikali...
5 Reactions
65 Replies
19K Views
Inahitaji nguvu ya ziada kufika views milioni 2 kwa mwaka mwenye mtandao wa Youtube. Hii ni orodha ya video 16 za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi mwaka 2016. Hizi ni zile ambazo zina zaidi ya...
0 Reactions
62 Replies
13K Views
Tuache masikhara na maisha, watu wamecheza sana kiasi kwamba huyu anayejiita Chino kid hafiki hata nusu, hata akisema anaimba, watu wameimba sana, kina Jay melody, Ray vanny mwenyewe mpaka kufikia...
8 Reactions
112 Replies
20K Views
Picha za kusindikizia uzi hizi hapa Uzi tayari! N.B: Ningekuwa na uwezo mkubwa sana ningelimuoa Ada Ehi kuliko hiki kimbemberuka nilichonacho
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Wakuu nna habari ya kuwajuza kuhusu industry yetu ya burudani. Ali Kiba wiki hii mwishoni ataenda kufanya show ya kuzindua duka la mavazi. Hongera sana Kiba kwa kuaminika na muuza duka na kukupa...
18 Reactions
76 Replies
4K Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa rekodi nyingine imeandikwa. Sasa Jux anaingia kwenda orodha ya wasanii waliofikisha views million 100. Hongera sana brotherman Juma Mkambala kwa hakika enjoy ndio...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Wapenzi wa Comedian wa Teacher Mpamire na wasiyo mjua huyu mchekeshaji ni kiboko kwa kuchekesha Style anayo itumia kushekesha watu ni style nzuri sana Kibritish chake kipo poa Sana, Kwanza hana...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
HISTORIA FUPI YA MSANII BAB LEE KATIKA TASNIA HII YA MUZIKI WA BONGO FLEVA.. "Bab lee jina langu halisi naitwa "Ally Omary " kiukweli mimi kwenye mambo ya muzuki nimeanza toka mwaka 2000...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
🚨 Huyu jamaa nilidhania anasingiziwa kumbe ni mshenzi kweli. P. Diddy aka Mr Love anaeshutumiwa kwa makosa mbalimbali ya udhalilishaji wa ki ngono kwa wanawake na wanaune nimeona kwenye moja ya...
81 Reactions
275 Replies
27K Views
Jopo la Mawakili wa P Didy wamepambana kuomba dhamana waliomba kuweka dhamana jumba lake la kifahara lenye thamani ya zadi ya bilioni 50 pamoja na ndege yake binafsi lakini Mahakama imekataa...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Mahusiano ya harmonize maarufu kwa jina la Konde boy na socialite Poshy Queen yanaonekana kuvunjika na mwanadada huyo ameonekana kuwa na mwanaume mwingine kwenye club night moja. Dalili za...
14 Reactions
51 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…